shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,566
- 3,129
Kama unadeni ingia ess utaona deni limepungua hapo ndipo utajua wamekata.Mnakatwa Mankato gani?
Kama unajua kiasi cha deni lako ukiingia muda huu utaona deni limepungua
Kama unadeni ingia ess utaona deni limepungua hapo ndipo utajua wamekata.Mnakatwa Mankato gani?
Kama ni kweli, wengine msubiri kesho.Bakabaka tayari
Mkuu mi nachangamsha mada tuKama ni kweli, wengine msubiri kesho.
Kwanini wkend?Mzigo kesho mapema kwenye saa 3 hivi asubuhi
Watumishi wafanye manunuzi yao ili juma tatu wasiwe na msongo wa mawazoKwanini wkend?
Habari njema kabisa hii.Naona makato yashafanyika kikamilifu huko Hazina.
Maana yake ni kwamba ndani ya masaa 24 kutoka sasa tunalipwa!
Ni huzuni kwakweli😭😭NMB moshi bado ni mweusi 😂😂😂
naaamKama unadeni ingia ess utaona deni limepungua hapo ndipo utajua wamekata.
Kama unajua kiasi cha deni lako ukiingia muda huu utaona deni limepungua
Tuzidishe maombi 😁Ni huzuni kwakweli😭😭
Dayworkers au sioDeiwaka tupite kimya kimya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yaani mshahara ukiingia tu from no where najikuta nipo kwa morombo naletewa mbuzi choma na kachumbari ya kutosha...
Sio kweliUkiona salary haikutani na salary ya mwezi mwingine, jua una maisha magumu sana. 😁😁😁
Una prove vpy mkuu nisaidiee,njisi ya kuproveejina lako umeprove limo ktk mfumo ? kama lishaingia kuwa na amani. ila kama huna uhakika mchek afsa utumishi akuchek kwa orodha,
Umeingia umeona sindionaaam
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani mshahara ukiingia tu from no where najikuta nipo kwa morombo naletewa mbuzi choma na kachumbari ya kutosha...