Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

CRDB Salio limetuna, sijapata sms nimefanya kuchungulia simbank nakuta imooooo [emoji23][emoji23][emoji23]!

Nilikua nimeshaenda kununua mihogo ya kukaanga ninywee chai nimeitupa ktk Banda la kuku. Mie sio wa kula mizizi [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vijana nawaona hapa mnafua raba mkapotelee kidimbwi kalipeni madeni dukani shenzi
1000438248.jpg
 
Back
Top Bottom