Mimi inagoma
😅AiseeCRDB Salio limetuna, sijapata sms nimefanya kuchungulia simbank nakuta imooooo 😂😂😂!
Nilikua nimeshaenda kununua mihogo ya kukaanga ninywee chai nimeitupa ktk Banda la kuku. Mie sio wa kula mizizi 🤸🤸🤸
Kwangu CRDB nimeona Message wameweka saa tisa usiku.Kwahiyo kesho iyo sasa
Crdb😀😀Thanks Allah.
Nimeamshwa na mlio wa message.
Ndugu Mteja
Umepokea kiasi cha TZS *** katika akaunti yako nambari: 01522*****00
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0714197700.
Benki gani weweJamaa wa hazina anataka na Leo tushinde bila kula mchana😭😭
Fikiria huyu jamaa anayelia hana hata mia na madeni kila mtaa akiambiwa na boss wake anafukuzwa kazi, atajinyonga huyu.Hakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Mpwayungu Village uko wapi siku hizi wenzako wanalia huku?Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?
Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?
Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Utakua umeingia kimya kimyaDuh ,,mbona bila bilaaaa