Hawa wanaweza kumuua mtu wenyewe ili utabiri wao utimie wapige pesa za sadaka na maji ya upako.
Sahihi kabisa kama mbunge msukuma alivyokuwa anawanunua watu vijijini nakuja kuwafufua huku..
Then baada ya hapo hawaonekani humu mitaani wanakuwa wamerudishwa vijijini namfahamu mmoja wapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom