Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,620
- 18,705
Ndio jina ya passport kwa sasa??100000 mkononi siku hiyohiyo unapewa kadi ya ccm
Ndio jina ya passport kwa sasa??100000 mkononi siku hiyohiyo unapewa kadi ya ccm
Duh haya.Wwe ni muongo muongo, hua nakuchora tu
Jiongeze ila ungekuwa dar fasta tuUnafanyaje ili kukata kwa siku 2
Moja ya masharti ya kupewa hiyo kitu uthibitishe una safari. Kwa mujibu wa mleta uzi, hata safari hana.Tanzania Ni Ngumu Sana Hii
Yaani Aongeze Nguvu Ya Nini Wakati Kila Kitu Anacho
Na fikra za kupuuzia kama hizi ndio zina sababisha msipeweKwa mambo haya tunayofanyiana watz Mungu akisaidia nikatoka nitakua narudi Tz kutembea tu. Nchi nzuri ila wapuuzi wanaiharibu mtu unakosa hata hamu ya kuishi humu
haswaa😁😁Ndio jina ya passport kwa sasa??
Kama wazazi wote wametangulia mbele ya haki ila viambatanisho vingine ninavyo inakuaje hapo mkuu,nitapata kweli passport?Ili kupata passport,unatakiwa uwe na.
1.cheti cha kuzaliwa.
2.cheti cha kuzaliwa cha mzazi mojawapo.
3.Kitambulisho cha Taifa.
4.kitambulisho cha Kazi Kwa watumishi wa umma.au barua ya utambulisho KUTOKA serekali za mitaa Kama hujaajiriwa.
5.barua ya maombi ya passport kama uko mkoani anapitisha kwa kamishna WA mkoa kwenda Kwa kamishna mkuu,anwani zao za posta unaweza kuzipata ofisini kwao.
6.uthibitisho wa safari ukionyesha nchi unauokwenda.
7.baada ya kuwa na vielelezo vyote utaanza kujaza form ya maombi online kupitia uhamiaji portal.kuna sehemu uta upload barua ya utambulisho na Cheti cha kuzaliwa.
Kama ombi limekamilika utapewa contral namba ya kulipia 20,000 ili uweze Ku print form.
Ukishaprint form utatafuta mashaidi waijaze na pia mwanasheria.
8.baada ya hapo utaenda ofisi za uhamiaji ukiwa na hiyo form na vielelezo nilivyotaja hapo juu,
9.Ombi litapitiwa kama hakuna dosari,litapitishwa,utalipia 130,000 Kwa kutumia control namba,alafu utakamilisha ombi Kwa kupiga picha pamoja na kuchukuliwa alama za vidole.
10.Baada ya hapo utasubiri Kwa mwezi mmoja passport kuwa tayari.
11.kama unaihitaji Kwa haraka na hauna baadhi ya vielelezo unaweza watumia vishoka,Ila utawalipa gharama za ziada.almost 100-200k.
Tengeneza tu affidavity ya mzazi mmoja basiKama wazazi wote wametangulia mbele ya haki ila viambatanisho vingine ninavyo inakuaje hapo mkuu,nitapata kweli passport?
Pamoja sana MkuuTengeneza tu affidavity ya mzazi mmoja basi
Kuhusu barua andika simple tu ya kiswahili isiwe ndefu, uthibitisho wa safari andika ni safari binafsi unless iwe ya kiofisi unaweza kuattach barua ya kazini au kama umepata chuo nje utaweka admission letter, hao wanaokwambia uongeze nguvu usikute hata passport yenyewe hawana, jiamini inginia online jaza fomu yao na ukienda ofisini kwa interview view relax akikuuliza swali la kijinga na wewe mrudishie uone atajibuje, Mimi nilipata passport bila kutoa rushwa hata senti na wazazi hawakua na vyeti vya kuzaliwa, walipovidai nikawambia kwani nyie wqzazi wenu wanavyeti vya kuzaliwa? Labda wamechukua hivi vya rita wakachukua finger prints nikasema wiki iliyofuata nikaendeaWakurungwa mpaka sasa sijapewa Mwongozo
Nilijua kwa dar wiki mbili ndio Maximum kumbe hadi mwezi?Umeshauriwa vizuri.
1. Hawa wote waliokwambia ni hata siku mbili ,Yes ila ni uwe na hongo. Ukifuata utaratibu utapata lakini si chini ya mwezi.
Hii sina.. Je uaambatanisha na vyeti vyako ndio unapewa Passport2.Barua ya mwaliko mwambie mwenyeji wako akuandikie, kama ni email unaprint unapeleka.
Na nina kimuhemuhe kweli asee ila kwa huku naona usumbufu ni mkubwa kuliko dar. Dar napo ghalama ni nyingi mno kwenye mausafiri na nauli za basi3.Kokote huduma unapata si lazima kwenda Dar, ila tu kuwa mvumilivu usiwe na haraka wala kimuhemuhe.