Habari za muda huu wadau.

Nina uhitaji wa kuwa na hati ya kusafiria, velelezo vyote vinavyohitajika katika kujaza fomu ninanvyo kasoro hicho moja nambari sita. Je, nawezaje kupata passport pasipo hicho kielelezo namba 6.
Screenshot_20221026-100707-01.jpeg
 
Pole mkuu pambana maana haya ni matokeo ya kuishi in a pithole country, hapo ulitakiwa uwe na no 3 tu ili kupata passport na hati hii ni haki ya kila Mtanzania regardless anasafiri au hasafiri katiba mpya ni muhimu
 
Pitia huu uzi kwa msaada zaidi...
 
Hawazingatii kabisa kuhusu safari
Wanazingatia zaidi uraia, uraia wa wazazi na serikali za mtaa au barua ya mwajiri
 
Pitia huu uzi kwa msaada zaidi...
Asante kwa muongozo
 
Mzee hilo jambo rahisi sana we ukifika pale uhamiaji jiongeze tu tafuta mtu mpoze unaipata haraka bila zengwe
 
Tafuta hela hakuna linaloshindikana.... mimi passport nilitumia siku 2 tu nkaipata ila wengine hutumia wiki 1 mpka 2 kuipata

My note:
TUTAFUTE HELA
 
Back
Top Bottom