Wapo watu kwa vipindi tofauti wamezipata kwa mda mfupi tu tena bila ya mnazoita connection
Mkuu nimeipata. Ulisema kweli kua unawezaipata kabla ya muda tajwa. Niliambiwa naipata after 6 week ila nimeipata after 3 weeks.
Mungu mwema sijapata usumbufu wowote
IMG_20211105_143849_8.jpg
 
Habari
Nimefanikiwa kuipata within 3Weeks out of 4-6
Hongera mkuu, kama hautojali naomba u share hatua kwa hatua ulizopitia mpaka ukaipata ili iwe faida kwa wengine. Nami pia nina mpango wa kuanza kuomba hivi karibun.
Asante
 
Hongera mkuu, kama hautojali naomba u share hatua kwa hatua ulizopitia mpaka ukaipata ili iwe faida kwa wengine. Nami pia nina mpango wa kuanza kuomba hivi karibun.
Asante
Angalia maelezo hapo kwenye post #1 yapo sahihi kwa 95%
 
Asante nimeona, kwenye uthibitisho wa safari ulitumia njia gan?
Tumia barua ya serikali za mtaa. Usiutumie Invitation letter. Vizuri zaidi nenda kwa watu wakujazie usijaze mwenyewe au kujaziwa pale migration.
Ghalama ya kujaziwa nilitumia 7K. Ila nadhani haizifi 10K
 
Asante. Kama hautojali naomba u share sample ya barua ya maombi ya passport
 
Mi bila rushwa najuwa siwezi kupata sisi tuliochanganya blood tunasumbuliwa sana.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Siku hizi hakuna rushwa wala nini, document ziwe zimekamilika tu, na pale kwenye desk jibu maswali yao vizuri ndani ya wiki moja unapata pasi yako, sisi tulipeleka doc tare 22 Dec, tarehe 24 tukapigiwa simu passport iko tayari
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom