Magu huyu magu mbana matumizi. Za rambirambi tu zimeliwa kama hajamwambia ampeleke shule za kawaida au hiyo hela iende kwenye mchango wa kitu kingine kabisaNenda kamuone mzee magu hapo whitehouse atakusaidiaaa
Ova
Magu huyu magu mbana matumizi. Za rambirambi tu zimeliwa kama hajamwambia ampeleke shule za kawaida au hiyo hela iende kwenye mchango wa kitu kingine kabisaNenda kamuone mzee magu hapo whitehouse atakusaidiaaa
Ova
umeongea nilichotaka kusema. Ni ngumu sana sasa hivi kujua mwenye shida ya kweli ni nani na tapeli ni nani, hali imekua sio hali, ugumu wa maisha unapelekea watu kufanya vitu vya ajabu. Kama ni kweli mama anasikitisha sana lakini what if ni tapeli.Duh pole kwa matatizo....
issue ni kwamba watu wengi sio waaminifu mtu unashindwa kujua nani wa kumuamini na nani sio.. kila la heri
Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?
Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
***Wakuu habari,
Naombeni msaada kwa atakaeguswa,
Ni mama ninaemsomesha binti yangu sekondari ya private baada ya kutochaguliwa katika shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakini yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule.
Msaada naomba kwenu wanajamvi yeyote atakaeguswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January, nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua, nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2, sasa hofu inaingia anaweza hata kujizuru.
Naomba msaada ndugu zanguni, ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Morogoro nitasogea mashambani nikalime wakati yeye akiwa bweni. nikifanikiwa kupata hela.
Nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi.
Namba yangu ya simu ni hii moja tu 0763107900
Asanteni.
Wewe umeshamsaidia lakini?Kama mna mpango wa kusaidia saidieni muache kujifanya wajuaji kwamba nyie ndio mnajua sana ametoa vielelezo hapo kama mtu ana nia ya kusaidia si afuatilie hivyo vielelezo kuona kama kuna ukweli, sasa mnao conclude kwamba ni tapeli mnatumia ukweli upi?
Mkuu ongezea kuwa watu wanasoma topic basi na kuchangia bila kusoma comments zilizotangulia..Hapa kuna mengi sana nimjifunza kupitia Uzi wa mwana JF mwenzetu.....na nikiwa mdau wa elimu nina hakika ya haya:
1. Kuna uwezekano mkubwa kuwa huyu mzazi ana mtoto anayetakiwa kuingia kidato cha Tatu, (nimesoma jinsi anavyo-sound)
2. Hana uwezo wa kumlipia ada kwa mihula iliyobaki ya kidato cha Tatu na cha NNE
3. Ana uwezo wa kawaida tu wa kumlisha, kumvisha mwanaye, anapenda amwendeleze zaidi kielimu maana yeye hakufanikiwa sana kielimu (ingawa naona alionyesha juhudi kwa kusoma secretarial course) na naona hataki mwanaye aishie njiani.
4. Kuna udhaifu mkubwa sana katika idara ukaguzi wa shule zetu, mfano, shule tajwa hapo inawapa wazazi account ya mmliki wa shule, badala ya account iliyosajiliwa ya taasisi.
5. Udhaifu mwingine ni pale ambapo shule inasomeka kuwa INA usajili wa kidato cha tano na cha sita lakini mkuu wa shule kumbe anapokea watoto hadi wa o level (au shule haija-update taarifa zake ?)
6. Nimejifunza pia wadau wengi hapa wana nia ya dhati ya kumsaidia mzazi lakini wameingiwa na woga baada ya "makosa, mapungufu" katika Maelezo ya mzazi, mfano jina Alex, ambalo sio la mtoto Bali la mmliki wa shule, imeonekana picha ni ya binti lakini jina la account ni Alex, kumbe Alex ni mmliki wa shule.
Cha kumsaidia mzazi, kwanza asikate tamaa, (nimehisi anakatishwa tamaa na wanaohisi ni tapeli) siku hizi hatuaminiani hasa huku mtandaoni. Pili apate nyaraka kutoka shuleni ikiwamo acc ya shule sio ya mkuu wa shule, barua au joining instruction yenye mihuri ya shule, barua ya kiongozi wa mtaa au kijiji yenye muhuri ikimtambulisha mtoto na mzazi.
Asante, haya ni maoni tu kutoka kwangu, hasa nikilinganisha na wazazi wengine wanavyohangaika katika haya maeneo ninayoishi.
Mpaka nije kukutangazia hapa.Wewe umeshamsaidia lakini?
Magu huyu magu mbana matumizi. Za rambirambi tu zimeliwa kama hajamwambia ampeleke shule za kawaida au hiyo hela iende kwenye mchango wa kitu kingine kabisa
Umenichekesha mkuu!Kwa aina ya uandishibwako wewe si mama ni mwanaume !
Swali kwa nini ujipe umama ?hii ina viashiria vya udanganyifu hakuna mtoto asomae hapo bali kuna njemba inataka kutusomesha sisi
Ndio, Hapo utakuwa umehimiza baadhi ya watu nao wachangie..Mpaka nije kukutangazia hapa.
Kama huna nia ya kuchangia basi si vibaya ukapita tu kuliko kumdhalilisha huyu mama.Ulimzaa kwa malengo gani?
Watu mnaimbiwa uzazi wa mpango lakini hamuelewi.
Huwezi kuzaa mtoto kwa siku hizi halafu utegemee ada za michango
jamani mimi kweli amenikoroga kisa I was ready to help her yesterday. Si unajua hela za manati hizi shida ikitokea inahamia kwingine. Nimekusoma asante. Nimepata simu za wote ( mama na mwalimu) kwa kutumia psychology yangu nikijua ni kweli nitamtumia.Miss mwana umekoroga madawa, rudia vzr
Hata me nmeonahuu uandishi sio wa kike..[emoji19] [emoji19] ...
samahani lakini.....!!!....