Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Maelezo ya kike, mwandiko wa kiume jina ndo kaaabisaaaa, sijui la kiume sijui la like? Eti nani? Chimwemwe Msumba. Najitolea bure kwenda mpaka nyumbani kwake nikaone vithibitisho vya Shule vya huyo binti! Si anesema yuko Morogoro mjini? Atuelekeze yuko mtaa gani! Afrodenzi wewe huwa unatoa sana msaada njoo na huku sasa utoe hiyo laki!
 
a. Jina la shule: Paducah HIGH school, MOROGORO
b. Akaunti YA Benki: crdb 0IJj2075662300 ; Jina la AKAUNTI: Alex m. Mwasile (MMILIKI WA SHULE)
c. Majina kamili ya mwanafunzi: Hilda Francis (FORM III)
d. Namba ya Headmaster: 0718 518127.
E. NAMBA YA SIMU YA MHUSIKA: 0763107900

ALIYEGUSWA AMSAIDIE TAFADHALI; KWA UFAFANUZI ZAIDI TUMIA SIMU ALIZOTOA.
 
Wana JF,<br />Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule......

Hayo Maelezo hajakutosheleza tu?
 
nimeusoma uzi wte,vzur na comments zote ase nimejifunza ving na jins ya kureason.nadhan kama ni kwel mkuu,ana tatizo ilitakiwa aend straight kutoa taarfa zote kw uwazi,bla kupepesa maneno angeeleweka na msaada angeshapat mana si ndo imekuwa soln.ya mwisho jf kupata msaada angetoa kila kitu kuhus mwanae na maisha yake,si kiundani sana bali kiuhalisia.mana yeye pia ni great thinker.mi huo metoa ushaur t sina cha kusaidia ila utafanikiwa.
 
Wana JF,
Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule,
Mods:ebu pandisha huu ufafanuzi hapo juu!
 
Wana JF,<br />Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule......

Hayo Maelezo hajakutosheleza tu?
Wewe mkuu unayajua matapeli lakini wewe? Huwa yanafanya mtandao mrefu mnaweza kuwa mnajibizana nayo hapa JF utafikri ni watu hawafahamiani kumbe lao moja. Wewe huyo mtoto unamjua jina anaitwa nani? Wewe ndo umepiga simu kwenye hiyo shule au umesikia kwa jamaa yako? Mtalizwa vijana!! Mimi niliwahi kukoswakoswa kutapeliwa na jamaa limejifanya li-afisa la benki ya NMB eti linadai nifanye updates za akaunti yangu. Kwanza likaanza kwa kunifokea eti "kwa nini mpaka sasa hivi huja-update taarifa zako?" Huku mimi nikijua kabisa nimefanya kama wiki tatu zilizopita. Bahati yangu mimi nami nmejitahidi kuwa wa mjini, nikalisikiliza mpaka mwisho eti linadai liko ofisini za NMB niliyofungulia akaunti. Nikaliuliza meneja wa huduma kwa wateja kama yupo, likasema yupo ngoja nikuitie. Hapo ndo nikatia shaka! Sasa na wewe unataka kumwamini huo jamaa aliyejidai kampigia simu huyo mkuu wa shule? Shauri yako hako ka laki kako kakilambwa! Mbona mnakuwa na mashaka ninaposema mimi najitolea kwenda nyumbani kwake nikajilidhishe ili taarifa nizilete hapa JF na vithibitisho kabisa!
 
a. Jina la shule: Paducah HIGH school, MOROGORO
b. Akaunti YA Benki: crdb 0IJj2075662300 ; Jina la AKAUNTI: Alex m. Mwasile (MMILIKI WA SHULE)
c. Majina kamili ya mwanafunzi: Hilda Francis (FORM III)
d. Namba ya Headmaster: 0718 518127.
E. NAMBA YA SIMU YA MHUSIKA: 0763107900

ALIYEGUSWA AMSAIDIE TAFADHALI; KWA UFAFANUZI ZAIDI TUMIA SIMU ALIZOTOA.
Mkuu unaweza kutuambia kwa nini shule inatumia akaunti ya mtu na siyo akaunti ya kampuni? Huyu jamaa (mmiliki wa shule) ni jipu mamlaka husika zimfuatilie huenda anakwepa kulipa kodi huyu!
 
Alifiki humu Jf ni vilaza kama yeye! Watu wameenda shule.
 
a. Jina la shule: Paducah HIGH school, MOROGORO
b. Akaunti YA Benki: crdb 0IJj2075662300 ; Jina la AKAUNTI: Alex m. Mwasile (MMILIKI WA SHULE)
c. Majina kamili ya mwanafunzi: Hilda Francis (FORM III)
d. Namba ya Headmaster: 0718 518127.
E. NAMBA YA SIMU YA MHUSIKA: 0763107900

ALIYEGUSWA AMSAIDIE TAFADHALI; KWA UFAFANUZI ZAIDI TUMIA SIMU ALIZOTOA.
Mbona hiyo namba imesajiliwa kwa jina tofauti mkuu? Maana Msolo anasema jina la mkuu wa shule ni Fabian Kasedele, wakati Hii namba ambayo wewe unayosema ni ya mkuu wa shule imesajiliwa kwa jina la Michael Nickson?? Which is which??Akthoo
 
Uadilifu na ukweli ni muhimu unapoomba msaada..
hapo nahisi alijichanganya hilo jina naona linahusiana kidogo na jina la mmiliki wa shule
anaitwa MCHUNYAGAJI ALAEX MGWELELE MWASILE
 
Wakuu habari,

Naombeni msaada kwa atakaeguswa,

Ni mama ninaemsomesha binti yangu sekondari ya private baada ya kutochaguliwa katika shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakini yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule.

Msaada naomba kwenu wanajamvi yeyote atakaeguswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January, nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua, nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2, sasa hofu inaingia anaweza hata kujizuru.

Naomba msaada ndugu zanguni, ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Morogoro nitasogea mashambani nikalime wakati yeye akiwa bweni. nikifanikiwa kupata hela.

Nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi.

Asanteni.
Ulimzaa kwa malengo gani?
Watu mnaimbiwa uzazi wa mpango lakini hamuelewi.
Huwezi kuzaa mtoto kwa siku hizi halafu utegemee ada za michango
 
Ulimzaa kwa malengo gani?
Watu mnaimbiwa uzazi wa mpango lakini hamuelewi.
Huwezi kuzaa mtoto kwa siku hizi halafu utegemee ada za michango
alitegemea watalea wote na mumewe badala yake mume kachanja mbuga
 
Wana JF,
Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule,
Kama kweli tapeli ameamua kuingia kazini unadhani atakupa namba ya mtu ambaye hajampanga?hebu amkeni basi!
 
Back
Top Bottom