Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Wakuu habari, naombeni msaada kwa atakaeguswa ni mama ninae msomesha binti yangu sekondar ya private baada ya kutochaguliwa ktk shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakin yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule. Msaada naoomba kwenu wanajamvi yeyote atakae guswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani ***** mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2 sawa hofu inaingia anaweza haya kujizuru, naomba msaada ndugu zangun ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Moro nitasogea mashamban nikalime wakati yeye akiwa bweni nikifanikiwa kupata hela, nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi, asanteni.
Haiwezekani kumpeleka shule ya serikali kama amefika kidato cha 3 private?
 
Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
Ada jumla ni kiasi gani kwa mwaka na muhula huu wa kwanza inatakiwa alipe kiasi gani?
 
Kwani baba wa mtoto yuko wapi?? Au ni single mother
 
Wakuu habari, naombeni msaada kwa atakaeguswa ni mama ninae msomesha binti yangu sekondar ya private baada ya kutochaguliwa ktk shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakin yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule. Msaada naoomba kwenu wanajamvi yeyote atakae guswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani ***** mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2 sawa hofu inaingia anaweza haya kujizuru, naomba msaada ndugu zangun ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Moro nitasogea mashamban nikalime wakati yeye akiwa bweni nikifanikiwa kupata hela, nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi, asanteni.
Kwa aina ya uandishibwako wewe si mama ni mwanaume !
Swali kwa nini ujipe umama ?hii ina viashiria vya udanganyifu hakuna mtoto asomae hapo bali kuna njemba inataka kutusomesha sisi
 
Akaunti ya shule ndo ina jina la Alex m. mwasile
Mama yangu wewe toa tu maelezo ya kutosha utasaidiwa humu, akaunti ya shule iwe na jina binafsi mmmh inatia wasi wasi lakini!! Halafu hii shule si ipo maeneo ya mkundi Morogoro au sio hii?? kama ni hii pale si huwa wanachukua form 5 $ 6 tu au??? Samahan kama ntakua nimekukwaza ila tunahitaji tujiridhishe ndiyo tutoe msaada matapel wengi siku hizi.
 
Nimeguswa sana mama yangu na huu ujumbe wako.
Naomba nikusaidie kumsomesha mwanao mpaka form 4 halafu akimaliza nitajimilikisha mali kwa kuandikishiana kuwa nitamuoa binti yako.
Nitamsaidia hela ya ada mpaka matumizi ya binafsi shuleni,

Nitamuoa akimaliza form 4.
Tuwasiliane kwa namba hizi, ( +23476800115 )
Kwa sasa nipo nigeria, jimbo la ANAMBRA, biafra.

Iwo merin ikeje iworo osusan ife gbogbo yetunde jigon ewe ogure
ekefo akufun oswunde
Egu olane serembee nwowoa iruni gboni iboni
forosho enewe alakejo dalogun 2017.......

Inwo abeleke ijo gbona.
 
Back
Top Bottom