Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

mkuu hebu weka sawa kwanza hapa:
a. jina la shule tayari umeweka,
b. akaunti namba yenye jina la shule,
c. majina kamili ya mwanafunzi,
d. ikiwezekana na "index number" ya necta form two.
pini hiyo....!!..akijibu hayo kwa ufasaha na yakathibitika....??.. asaidiwe tuu kwakweli....[emoji45] [emoji45] ......
 
Fanya yafuatayo kama kweli unataka msaada na uko serious.
1.Attach joining instruction ya shule ambayo inaonyesha akaunti namba na jina la akaunti ya kutuma ada (ili tujiridhishe kuhusu jina la akaunti ya shulr kuwa na jina la mtu binafsi)
2.Tupe namba ya mkuu wa hiyo shule ambae tunawea kumpigia na yeye akadhibitisha kuwa na mwanafunz huyo hapo shuleni.
3.Weka jina kamili la huyo mtoto wako, pamoja na namba yake ya mtihani ya kidato cha pili.
4.Attach pia kitambulisho cha shule cha huyo mtoto.
5.Toa maelezo ya mahali shule ilipo (mkoa, wilaya na kata if possible).
6.Barua ya utambulisho kutoja serikali ya kijiji/mtaa unapoishi wewe na mtoto wako, ikiwa na picha yako.
Ukiweka vitu vyote hivyo hapo mimi nitakusaidia, kwa kila kitu juu ya elimu ya huyo mtoto, na hautakuwa mkopo, bali msaada tuu.
Ahsante.
chimwemwe msumba
ubarikiwe sana mkuu...[emoji120] [emoji120] ...
mwenye uzi...fill hizo blanks......

means atume image za hizo doc'nt humu..??...
 
Kwanza kwenye kuomba msaada hakuna siri,sioni kitu cha kuficha.Au wewe nawe ni tapeli.?
Naomba mwenye jina la Alex M.Mwasile akamatwe na awekwe ndani hadi nije,kwa kujaribu kutapeli watu kupitia JF.
Cc:Wana Usalama wote
Cc:TCRA
Cc:CRDB
kimenukaa..[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....???....
 
jf Kibokoooooo dahhh ukitaka ma FBI CIA INTERPOL FORENSIC MOSSAD KGB wooooote wanapatikana.Jf ni kibokooooo salute.Nitaipenda JF maisha yangu yote.......Imenifungua sana akili yangu.🙂🙂🙂.Mtu unahojiwa mpaka unakimbia mwenyewe.Dah natamani siku niwakutanishe wote under one roof tufanye presentaton mbalimbali.tehe tehe
 
Nitakuwa sina maelezo zaidi ya hapo zaidi sana atakae kuwa na nia ya kunisaidia atanipigia simu kwa Maelezo ya ziada kwani namba nilishaiweka na mm siyo tapeli kama navyofikiriwa ila naheshimu mawazo ya kila Mmoja na ushauri niliopewa kuna walionielewa na wasionielewa niwashukuru tu wote haya ni mapito ambayo yanaweza yakampata mtu yeyote yule, email ya shule ni paducahschool@hotmail.com au paducahnshool@yahoo.com namba ya headmaster 0718 518127 hivyo ni namba ya mkuu wa shule naomba tuwe wastaarabu wakati wa kumuoji ili tumtunzie heshima take shida yangu mm isiwe kero kwake anayejisikia kunichana, kunisema kunikashifu namba yangu inajulikana ni bora aniseme Mimi lakin asihusishwe head master nitakuwa sijamtendea haki nimeliongea hilo kwasababu ktk jamii kuna watu wa kula tabia, asanteni kwa muda wenu.
huu uandishi sio wa kike..[emoji19] [emoji19] ...
samahani lakini.....!!!....
 
Pole mama, ngoja wasamaria wema wanakuja inbox, pia usishangae wakiomba na kapicha ka binti yetu, nimekushtua tu mapema ili ujiandae na hiyo picha. Nitaku pm baadae kidogo.
ebu kuwa serious mkuu[emoji3]
 
Wakuu habari,

Naombeni msaada kwa atakaeguswa,

Ni mama ninaemsomesha binti yangu sekondari ya private baada ya kutochaguliwa katika shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakini yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule.

Msaada naomba kwenu wanajamvi yeyote atakaeguswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January, nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua, nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2, sasa hofu inaingia anaweza hata kujizuru.

Naomba msaada ndugu zanguni, ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Morogoro nitasogea mashambani nikalime wakati yeye akiwa bweni. nikifanikiwa kupata hela.

Nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi.

Asanteni.
1.Ada yote ni Tshs ngapi kwani..?
2.Awali ulikuwa unafanya kazi gani mkuu...?
3.Mwaka wa mwisho(form four) utafanyaje mkuu...

DAAH..hali ya nchi si swali huku njaa inatutafuna kula watoto hawaendi shule...

NOTE: samahani mkuu kama ninekukela kwa maswali ambayo hukutalajia...
 
Wee mama, huna ndugu? Huna marafiki? Umeshindwa kuwekeza kwenye vikoba ukakopa huko?
 
Huyu ni kijana ambaye either yuko A level anahitaji hizo pesa ajiendeleze kimasomo. Kosa alotumia ni kutata kuuza album ya wagosi wa kaya kwa picha cover ya Diamond. Wananchi wameshtuka wanataka kuskilizishwa ndio wanunue.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Haka katabia kameshika hatamu sana jukwaani humu huyu kama sio mtu wa nne kumshudia akilia lia shida Basi wa tano , kiukweli hela ni ngumu
Je ni kweli wanalia shida au matapeli....hapo ndio shida inapokuja
 
jINA LA SHULE paducah hill side high schools MMMMMMMMMMhhhhhhhh IKO WAPI HIYO?

Halafu jina la akaunti ya shule Alex m. Mwasile !!!!!!!!!!!! Wizi mtupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajui ht ada ya shule ina dipositiwaje...jifanyeji wasamalia muliwe...mtandaoni sitoagi pesa yngu aissseee
 
Wana JF,
Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule,
 
kam
Wakuu habari,

Naombeni msaada kwa atakaeguswa,

Ni mama ninaemsomesha binti yangu sekondari ya private baada ya kutochaguliwa katika shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakini yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule.

Msaada naomba kwenu wanajamvi yeyote atakaeguswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January, nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua, nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2, sasa hofu inaingia anaweza hata kujizuru.

Naomba msaada ndugu zanguni, ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Morogoro nitasogea mashambani nikalime wakati yeye akiwa bweni. nikifanikiwa kupata hela.

Nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi.

Asanteni.
kama wewe ni muumini wa kanisa lolote peleka shida yako huko mara nyingi huwa watu wana pata misaada sana na usisahau kuswali/sali sana coz Mungu ndio pekee atakupa maujanja utoke vipi,pole sana

hapa JF watu hawakujui kikubwa tutakupa ushauri tu.
 
Wana JF,
Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule,
Mkuu tutaaaminije kuwa na wewe sio wareware mmetumana?Ngoja na mimi nipige kwanza simu
 
Back
Top Bottom