Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Joined: 25/12/2016
hapa ndipo napata ukakasi
naogopa sana accounts mpya kwenye mitandao ya kijamii hasa katika neno msaada
Hili tatizo... Ndio maana tulisisitiza mapeema kuwa hizi sikukuu mtumie hela vzuri...mwezi jan kuna ada hamkutuelewa...ona sasa watu wanavyo tanga tanga ...mara wanaanza kutapeli tapeli humu kwenye nyumba ya wanaojua kutumia akili zao kudadavua na kutatua matatizo...

Mamdogo hii ni nyumba ya great thinkers kila jambo utakalo lileta humu lazima watu walichekeche ...
Na kama ni tapeli lazima utafedheheka kama hivi... Had sahiz haujarudi kwenye uzi akati unahitaji msaada mweeee.
 
Hili tatizo... Ndio maana tulisisitiza mapeema kuwa hizi sikukuu mtumie hela vzuri...mwezi jan kuna ada hamkutuelewa...ona sasa watu wanavyo tanga tanga ...mara wanaanza kutapeli tapeli humu kwenye nyumba ya wanaojua kutumia akili zao kudadavua na kutatua matatizo...

Mamdogo hii ni nyumba ya great thinkers kila jambo utakalo lileta humu lazima watu walichekeche ...
Na kama ni tapeli lazima utafedheheka kama hivi... Had sahiz haujarudi kwenye uzi akati unahitaji msaada mweeee.
Unamsingizia mwenzio hata sio wa kike khaaaa!
 
. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule......

Hayo Maelezo hajakutosheleza tu?

pesa za ada ya shule zinaingizwa akaunti ya mtu binafsi? Awe mmiliki au la?
 
hapo nahisi alijichanganya hilo jina naona linahusiana kidogo na jina la mmiliki wa shule
anaitwa MCHUNYAGAJI ALAEX MGWELELE MWASILE
Wamiliki wamabadilika majina kila dakika!!!!!!!
 
Mbona hiyo namba imesajiliwa kwa jina tofauti mkuu? Maana Msolo anasema jina la mkuu wa shule ni Fabian Kasedele, wakati Hii namba ambayo wewe unayosema ni ya mkuu wa shule imesajiliwa kwa jina la Michael Nickson?? Which is which??Akthoo

haya kumekucha.njia ya mwongo fupi
 
Kama mna mpango wa kusaidia saidieni muache kujifanya wajuaji kwamba nyie ndio mnajua sana ametoa vielelezo hapo kama mtu ana nia ya kusaidia si afuatilie hivyo vielelezo kuona kama kuna ukweli, sasa mnao conclude kwamba ni tapeli mnatumia ukweli upi?
 
shule ya facebook? yenye jina la akaunti ya mtu binafsi?

Kama wamejipanga na kutumia jina la shule kufungua account feki, basi wana akili fulani bomba wanafikiria mengi na akili za wanaotaka kuwatapeli zitafanyaje.

Ila tulitaka kujua hiyo shule iliyotajwa ipo wapi na ndio hivyo.

Hata mimi sasa hivi naweza kufungulia hata account ya chochote kwa hilo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoa mada kakimbia hahaa hii ndo Jf
 
jamani hebu mama funguka ni kweli umesema unasomesha binti halafu jina la kike hebu fafanua jamani. Ili wenye dhamira wakuchangie!
Miss mwana umekoroga madawa, rudia vzr
 
Pole na nimeguswa sana lakini

Hapa ndipo wasiwasi unapotuingia Maana tushazoea account ya shule inajina la shule
Wasiwasi mwingine ni pale nilipoona unapost moja tu jf (1) ambayo ni hii
Hapo kwenye red...

Kua na post 1 tu JF hiyo sio issue, huenda ni member maarufu tu humu ila ameamua kufungua ID nyingine ili kuficha identity yake coz kama unavyoona ameweka namba zake za simu na vielelezo vingine,member yeyote sio rahisi kuweka info zake hapa,huenda mleda mada amefungua ID mpya kujilinda au kulinda privacy yake, hii id yake ina post 1 tu na huenda akishatimiza lengo lake hatoitumia tena hilo sio tatizo.
 
Wewe mkuu unayajua matapeli lakini wewe? Huwa yanafanya mtandao mrefu mnaweza kuwa mnajibizana nayo hapa JF utafikri ni watu hawafahamiani kumbe lao moja. Wewe huyo mtoto unamjua jina anaitwa nani? Wewe ndo umepiga simu kwenye hiyo shule au umesikia kwa jamaa yako? Mtalizwa vijana!! Mimi niliwahi kukoswakoswa kutapeliwa na jamaa limejifanya li-afisa la benki ya NMB eti linadai nifanye updates za akaunti yangu. Kwanza likaanza kwa kunifokea eti "kwa nini mpaka sasa hivi huja-update taarifa zako?" Huku mimi nikijua kabisa nimefanya kama wiki tatu zilizopita. Bahati yangu mimi nami nmejitahidi kuwa wa mjini, nikalisikiliza mpaka mwisho eti linadai liko ofisini za NMB niliyofungulia akaunti. Nikaliuliza meneja wa huduma kwa wateja kama yupo, likasema yupo ngoja nikuitie. Hapo ndo nikatia shaka! Sasa na wewe unataka kumwamini huo jamaa aliyejidai kampigia simu huyo mkuu wa shule? Shauri yako hako ka laki kako kakilambwa! Mbona mnakuwa na mashaka ninaposema mimi najitolea kwenda nyumbani kwake nikajilidhishe ili taarifa nizilete hapa JF na vithibitisho kabisa!
Mkuu anasema yupo Mkundi minara 4, nenda
 
Kama unayo msaidie tu ondoa wazo kuwa unatapeliwa halafu weka wazo kuwa nimehonga tu au nimetoa ofa ya beer au nimetoa sadaka tu.

Kama utaitoa kwa moyo mmoja basi kama tapeli tu hiyo hela hatafanyia chochote cha maana(Kwa sababu umeitoa ukiwa una Imani kuwa unamsaidia)

Mwenye moyo amsaidie, Naanza na mimi.
 
Back
Top Bottom