DOKEZO Shule ya Kibaigwa Girls imekataa kumpokea Mtoto wangu sababu sijamaliza Hela za Michango

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habari Watanzania,

Nawasalimu kwa jina la muungano..

Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.

Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara

Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.

Naomba kuwasilisha

🤝
 
Walimu wavae majoho ya wazazi. Watoto wao je
 
Sasa wewe ukitetewa huoni na Wazazi wengine watapuuzia suala la kukamilisha ada wakitegemea kutetewa? Shule itaendeshwaje?

Kwanini hukuomba ukamilishe ada na kununua vifaa ndio uende?

Hukuwa na mawasiliano ya Mkuu wa shule na makamu wake?
 
Mlipie mwanao,hakuna kitu kizuri kisicho gharama...mbona Watanzania tumekua watu wa kunung'unika sana?huyo mkuu wa shule anafanya kazi kwa mujibu wa taratibu, ulitaka usilipe hiyo Elimu bora itapatikana vipi?kama umepitia mchakato wa Elimu kwa sasa Elimu ni rahisi mno kuliko miaka 2000 kurudi nyuma,...wale waliosoma hiyo miaka ya 2005 kurudi nyuma wanafahamu Wazazi na watoto walivyokua serious...hizo lawama mwanao akisikia utamfanya akate tamaa ya hiyo shule.
 
Wew lipia hizo gharama yaishe bana,
Ko unataka watu msome bila kulipia? Mwisho mlalamike elimu mbovu et
 
Hii ndo Tanzania yetu tunaambiwa Kila siku kwenye majukwaa ya CCM kuwa elimu ni Bure !!!
 
ndoo 1-2,000/= fagio 1-1,000/= na mopper 1-3,500/=

Inabidi utoe tu hiyo 6,500/= sasa ukikataa nani akufanyie usafi? Serekali yenyewe ndo hii kama mambo muhimu kama huduma za afya unaweza kufa kwa kukosa buku 5 unategemea vifaa vya usafi watatoa?
 
Habari Watanzania,

Nawasalimu kwa jina la muungano..

Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.

Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara

Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.

Naomba kuwasilisha

🤝
Hebu mzazi vaa viatu vya mwalimu mkuu! Yaani michango ilivyo kidogo hivyo navyo wazazi mnataka mbembelezwe?
 
Back
Top Bottom