kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 872
Ulishawahi tapeliwa?,,Wewe ndo huna "vigezo vya kukaa humu',maana uwezo Wako wa kufikiria ni "mdogo Sana" na hii comment ya "kipuuzi" pia.
"Mim nadhan hakuna mtu anaeweza kutapeli kwa mazngra Kama haya maana angekuwa tapeli angesuka mchezo ambao huwez gundua kizembe"
.....am speechless...stupid reason hii sijawahi ona...
"ila Mie sina kitu ningekupa yote..!!"
....hahaha kumbe huna kitu...unataka wenye kitu watoe waliwe....
WAJINGA NDO WALIWAO.....
Tapeli gan anaeza kuja Na mission ilojaa sintofaham kias hicho ,we unadhan asingejua watu wanaeza kuja Na maswali Kama hayo Na akakokasa majibu yake?
Umeambiwa nenda pm au piga sim upewe uhakika bado hutaki kuelewa..!!
Unataka nini zaid ya kuitwa mpumbavu usieweza fikiria?