Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

jamani mimi kweli amenikoroga kisa I was ready to help her yesterday. Si unajua hela za manati hizi shida ikitokea inahamia kwingine. Nimekusoma asante. Nimepata simu za wote ( mama na mwalimu) kwa kutumia psychology yangu nikijua ni kweli nitamtumia.
Umemsaidia lkn?
 
Tuzungushe mchango wa buku 10 kumi atafanikisha azma ake kwa urahisi....pole mama
 
Ni bora ukakutana na simba msituni akiwa ameshiba atakuacha , ila sio binadamu ambaye moyo wake muda wote huongozwa na tamaa, Sorry and good lucky!
 
Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
Sasa inakuwaje akaunti ya taasisi kuwa na jina la mtu? Je akifa gafla?
 
Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?

Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
You are not smart as your name, instead you look bogus.
Soma post zote vizuri
 
kama wewe una mpango wa kufanya hivyo akitimiza hayo kwanini asikuonyeshe private kuliko kuyaanika hadharani maana hapo wewe ndiye unataka kumsaidia huo mzigo wote peke yako.
Ameomba msaada, anaweza pata wa kutosha ksomesha hadi chuo kikuu japo wengine tunaohitaji kuchanga ni wadaiwa sugu wa bodi.

Afuate yote anayoagizwa kama anataka kusaidiwa
 
Ukisikia utapeli wa mtandaoni ndio huu. Jana nilimtumia 20,000. Mpaka sasa sijapewa neno asante. Kwaherini
 
😀😀 😀
Ukisikia utapeli wa mtandaoni ndio huu. Jana nilimtumia 20,000. Mpaka sasa sijapewa neno asante. Kwaherini
teh teh pole sana, watu tumetoa Laki zetu tumepewa ahsante ongezea dau upewe shukrani 😛
 
Wana JF,
Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule,
Isije kuwa collabo mkuu la wagosi wa kaya na Las Lion
 
Watanzania tuwe na tabia ya kuchangia elimu, Kenya wanatupga bao
 
Nimefuatilia Uzi huu naona burudani. Kwa ufupi, shule ipo Mkundi Morogoro, nimewahi kufahamiana na mmiliki wake mch Alex M, na ni shule ambayo ameifanya binafsi zaidi kuliko taasisi. Ukweli wa meta mada ni jukumu la mwenye kuhitaji kusaidia kujiridhisha kabla.
Pia tuwe tunasoma vizuri mabandiko kabla ya kutoa hoja juu ya hoja.
 
Pole mama, ngoja wasamaria wema wanakuja inbox, pia usishangae wakiomba na kapicha ka binti yetu, nimekushtua tu mapema ili ujiandae na hiyo picha. Nitaku pm baadae kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] japo umefkiria sana
 
Back
Top Bottom