Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Mi nasubiri member mmoja humu amesema atajitolea kufuatilia akutane na hao watu in person.
Akileta mrejesho positive namchangia maana kusomesha si mchezo na kwa mujibu wa muomba msaada bint ndoto zake ni kusoma ,kama mwanajamii nasybiri kuondolewa shaka tu tushapigwa sana na watu tena wengine jamaa zetu!
 
Weka na Mobile Phone Number wengine tutakuchangia kupitia simu si unajua mambo ya benki, wengine hata ule mwanya wakuchomoza pua kutoka ofisini hatuna. Mimi nitackuchangia najua Uchungu wa kuwa Single mom! Naahidi nitakuchangia mara nitakopopata namba yako na ni Grant sio Mkopo.
Hii n tmu moja wanajarbu kucheza na akil za watu
 
rudi utoe maelezo vizuri

kwa mimi nimeelewa hivi

Jina la shule paducah hill high scholl

account # 0IJ2075662300

jina la mwanafunzi alex M.Mwasile

watu wamechanganya na kujua jina la mwanafunzi ndo jina la account # ya shule

nami nikachanganyikiwa mtoto wa kike kuitwa alex njoo na ufafanuzi poa, upate msaada kama kweli ni muhitaji.
A/c name ndio Alex m. Mwasile
 
Mwanafunzi anaitwa Hilda Francis akaunti ni ya shule ila ndo jina la mwenyewe shule ndo utaratibu wao hata kwenye fomu wameandika hivyo,
Nakushauri upige picha hiyo form yenye maelezo yote uambatanishe na post yako ya kwanza kama una edit..watu wameguswa...kilicho wachanganya ni jina akaunti...ikiwezekena fanya hivyo kama hiyo form itaonyesha mawasiliano ya shule, kuanzia simu, barua pepe au mtandao itakusaidia zaidi
 
pole sana najua situation za single mother inaumiza sana ninao mfano kwa mtoto wa dada yangu anavoangaika na binti yake kuhusu elimu.
 
Ukisikia utapeli wa mtandaoni ndio huu. Jana nilimtumia 20,000. Mpaka sasa sijapewa neno asante. Kwaherini
Usisubiri shukrani, shukrani ya kwanza ni nafsi yako ilipojisikia vizuri ulippmsaidia yatosha
 
Asante Emilias G shule anayoenda kusoma inatwa paducah hill side high schools, akaunti crdb 0IJ2075662300 yeye jina Alex m. Mwasile tawi lolote nchini.
MODS hizi additional details mngeziunganisha juu zote ili atakaeguswa kwa namna yoyote iwe rahisi kusaidia
 
Ulipaswa kujiandaa kwa ada mapema. Wenzio wanapika vitumbua na chapati wanasambaza mahotelini na bakeries na wanatoboa safi kabisa.
Kila la kheri. Kibomu kikubwa hivyo ghafla ghafla ni ngumu kiasi.
 
Wakuu habari,

Naombeni msaada kwa atakaeguswa,

Ni mama ninaemsomesha binti yangu sekondari ya private baada ya kutochaguliwa katika shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakini yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule.

Msaada naomba kwenu wanajamvi yeyote atakaeguswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January, nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua, nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2, sasa hofu inaingia anaweza hata kujizuru.

Naomba msaada ndugu zanguni, ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Morogoro nitasogea mashambani nikalime wakati yeye akiwa bweni. nikifanikiwa kupata hela.

Nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi.

Namba yangu ya simu ni hii moja tu 0763107900

Asanteni.
Je tukimtafutia shule ya bei nafuu kwa kusaidiana na wewe na mimi nitamlipia upo tayari kumuhamisha?
 
Mama JE pesa za shule umetimiza? Na kama bado zimebakia kiasi gani?
 
Kuna kitu nimegundua kuwa hum jf Kuna watu hawana vigezo vya kukaa humu,maana uwezo Wao wa kufikiria n mdogo Sana..

Kuna watu hawaelewi badala yake wanajaza comment za kipuuzi,..

Mim nadhan hakuna mtu anaeweza kutapeli kwa mazngra Kama haya maana angekuwa tapeli angesuka mchezo ambao huwez gundua kizembe( maoni yangu)

Then mtu anasema eti suala la uaminifu..!

Kwan Kama hiyo pesa unaona Ni ndefu huwez kumkopesha chini ya sheria Ili kukawa Na usalama wa kudai pesa yako?

Pole mkuu mtoa Uzi, ila Mie sina kitu ningekupa yote..!!
 
Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?

Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
Mkuu hapo maana yake jina lililoanza ni Sir name, baba, then mwisho ndo jina la mtoto.
 
Ila, Alternatively, Weka picha yako full mama. Vigezo vikitimia naweza hata kukukopea sehemu.
 
Kuna kitu nimegundua kuwa hum jf Kuna watu hawana vigezo vya kukaa humu,maana uwezo Wao wa kufikiria n mdogo Sana..

Kuna watu hawaelewi badala yake wanajaza comment za kipuuzi,..

Mim nadhan hakuna mtu anaeweza kutapeli kwa mazngra Kama haya maana angekuwa tapeli angesuka mchezo ambao huwez gundua kizembe( maoni yangu)

Then mtu anasema eti suala la uaminifu..!

Kwan Kama hiyo pesa unaona Ni ndefu huwez kumkopesha chini ya sheria Ili kukawa Na usalama wa kudai pesa yako?

Pole mkuu mtoa Uzi, ila Mie sina kitu ningekupa yote..!!
Wewe ndo huna "vigezo vya kukaa humu',maana uwezo Wako wa kufikiria ni "mdogo Sana" na hii comment ya "kipuuzi" pia.

"Mim nadhan hakuna mtu anaeweza kutapeli kwa mazngra Kama haya maana angekuwa tapeli angesuka mchezo ambao huwez gundua kizembe"
.....am speechless...stupid reason hii sijawahi ona...

"ila Mie sina kitu ningekupa yote..!!"
....hahaha kumbe huna kitu...unataka wenye kitu watoe waliwe....

WAJINGA NDO WALIWAO.....
 
Back
Top Bottom