Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

Wana JF,
Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule,
Hii ni mipango tu wala siamini
 
Wakuu habari,

Naombeni msaada kwa atakaeguswa,

Ni mama ninaemsomesha binti yangu sekondari ya private baada ya kutochaguliwa katika shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakini yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule.

Msaada naomba kwenu wanajamvi yeyote atakaeguswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January, nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua, nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2, sasa hofu inaingia anaweza hata kujizuru.

Naomba msaada ndugu zanguni, ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Morogoro nitasogea mashambani nikalime wakati yeye akiwa bweni. nikifanikiwa kupata hela.

Nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi.

Asanteni.
Ndugu yangu sio jambo rahis saana kupata msaada akat information ulizo toa ni za kuunga unga...

Alafu ili upate msaada ili bidi uandike info za kutosha ...mbona watu wanaandika proposal/ busness ideas... Na wanakuwa funded kwa sababu kuna info za kutosha kiasi kwamba watu wanaridhika na infor ...

Sasa tukiangalia hiyo posti yako namna ulivo andika andika partially namna hiii hakuna hata mashiko...

Afu nakushauri kama ulifikilia kuandaa uzi wa kuomba msaada kama huu bas ungejaribu kutyulia ngalau kwa masaa kadhaa ili ulete kitu cha maana chenye mashiko na uhalisia ndani yake sio unatuandikia bla bla bla tuu hapa mara ooh nahitaji kilo 7 ...

Kama walivyo suggest ndugu zangu hapo awali ili bidi uatach relevant documents ikiwemo id yako na mwanao...bank payment slips zilizopita... Joining...

Location mahali ulipo.... Mtaa ..mkoa...
 
Wana JF,<br />Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule......

Hayo Maelezo hajakutosheleza tu?
Wewe na msolo nani amepiga simu?
mbona maelezo yenu yanajichanganya?maelezo unayoyatoa mdio ametoa mwenzako anajiita msolo.

Nadhani bado mnajifunza utapeli,mmekosea kuanzia humu.
 
Tatzo lenu huwa hamuendi nyumba za ibada kusari laiti kama ungekua muumini wa kanisani ungewasilisha tatzo lako na ungechangiwa pesa ya kumsomesha mwanao hata hivyo ungempeleka hata QT ada ni nafuu zaidi
 
Wewe ndiye umejichanganyahuyu jamaa amemqoute anauliza maelezo ya msolo hayajatosheleza?!
Wewe na msolo nani amepiga simu?
mbona maelezo yenu yanajichanganya?maelezo unayoyatoa mdio ametoa mwenzako anajiita msolo.

Nadhani bado mnajifunza utapeli,mmekosea kuanzia humu.
 
Hatari kweli JF ni tofauti kabisa na FB, JF watu wanahoji, wanatoa hoja na data kwa sana
 
Wewe na msolo nani amepiga simu?
mbona maelezo yenu yanajichanganya?maelezo unayoyatoa mdio ametoa mwenzako anajiita msolo.

Nadhani bado mnajifunza utapeli,mmekosea kuanzia humu.
Mkuu nakuheshimu naomba Uniheshimu pls.....hunijui sikujui

Kwanza kabisa usipende kukurupuka na kujudge mtu pasipo kuwa na uhakika wa unachokisema......

Naomba uangalie vizuri.....Hayo ni ya maelezo ya msolo nimeyakopy na nikapaste......

Lengo langu lilikuwa ni kumuonesha mmoja wa wachangiaji kwamba kuna watu wamepiga simu.....ndo maana ukiangalia chini nikaamua kuuliza kwamba hayo Maelezo yamekutosha?...

Mkuu Naomba Ujiheshimu
 
Wana JF,<br />Nimempigia simu Mwalimu Mkuu, Anaitwa Fabian Kasedele, Shule ilianza na Advance, badae wakaweka na O'level. Anamfahamu huyo mwanafunzi ndio anaingia kidato cha tatu. Nilimwomba namba ya mtihani wa Form 2 akasema akirudi ofisi atanitumia. Pia ameomba namba ya huyu mama ili awasiliane nae. Pia kuhusu hiyo account ya Bank amesema Alex ni jina la mmliki wa shule......

Hayo Maelezo hajakutosheleza tu?
Ninavyojua shule ikisajiliwa as A level alafu wakaifanya kuwa na O level... wanapaswa kuijulisha taasisi husika mabadiliko hayo. Ili waweze kuiupdate
 
Mbona hiyo namba imesajiliwa kwa jina tofauti mkuu? Maana Msolo anasema jina la mkuu wa shule ni Fabian Kasedele, wakati Hii namba ambayo wewe unayosema ni ya mkuu wa shule imesajiliwa kwa jina la Michael Nickson?? Which is which??Akthoo
Kwa mtu kama mkuu wa shule kutumia no ambayo haijasajiliwa kwa jina lake ni ngumu, Mama inabidi ajipange upya.
 
pole sana mpendwa nataman jamiiforums wangekusikiliza tatizo lako liwe verfied tuanze kukusaidia
 
pole sana mpendwa nataman jamiiforums wangekusikiliza tatizo lako liwe verfied tuanze kukusaidia
Yes afanye hivyo na baada ya hapo jf wapeleke ada kwenye akaunti ya shule tupo tayari
 
Wewe na msolo nani amepiga simu?
mbona maelezo yenu yanajichanganya?maelezo unayoyatoa mdio ametoa mwenzako anajiita msolo.

Nadhani bado mnajifunza utapeli,mmekosea kuanzia humu.
Mkuu, nimepiga simu na kuleta mrejesho, usiongee vitu usivyokuwa na uhakika navyo, namba ziko wazi kwa mtu yoyote kupiga, fanya hivyo na uje na mrejesho wako.
 
Back
Top Bottom