chimwemwe msumba
Member
- Dec 25, 2016
- 27
- 39
Wakuu habari,
Naombeni msaada kwa atakaeguswa,
Ni mama ninaemsomesha binti yangu sekondari ya private baada ya kutochaguliwa katika shule za kata anaingia kidato cha 3 pamoja na kutochaguliwa lakini yupo vizuri kimasomo na anapenda sana shule.
Msaada naomba kwenu wanajamvi yeyote atakaeguswa naomba nikopeshwe fedha laki 700,000 au 600,000 ili mwanangu aweze kwenda shule tar 9 January, nimekwama kabisa kiasi nimemwambia binti kwamba aishie kidato cha 2 kwani mwaka huu nimekwama kwani sijapata kibarua, nipo nahangaika kutafuta kitu ambacho kimefanya mwanangu ashinde analia kula anakataa siku 2, sasa hofu inaingia anaweza hata kujizuru.
Naomba msaada ndugu zanguni, ningeshukuru kama ningepata hela isiyo na riba na kulipa itakuwa mwezi mei mwishoni kwani kama sitapata kibarua mjini Morogoro nitasogea mashambani nikalime wakati yeye akiwa bweni. nikifanikiwa kupata hela.
Nakaribisha hata ushauri maana akili yangu naona kama imegota inbox kwa kunifahamu zaidi.
Namba yangu ya simu ni hii moja tu 0763107900
Asanteni.