pointutanisamehe kwa hili swali ila ni muhimu kidogo... hujazungumzia kama umeolewa au vp na huyo binti baba yake yupo wapi au ameshafariki ili tupate picha halisi...
pointutanisamehe kwa hili swali ila ni muhimu kidogo... hujazungumzia kama umeolewa au vp na huyo binti baba yake yupo wapi au ameshafariki ili tupate picha halisi...
hta mm cjamsoma na kiukwel matapeli ni wengi sana usamaria wema ushaniponza mara nyingi katka mikoa mitatu tofaut yan daa naogopa sana misaadaPicha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?
Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
hainingii akilin huwa a/c ya shule inafunguliwa kwa jina la shuleAkaunti ya shule ndo ina jina la Alex m. mwasile
yan umenfanya ncheke kwa saut kma mjingautapeli at work..
Jina la akaunti ya shule linathibitisha hilo na picha ni ya msichana linakuja jina la Alex kivip?wacha tuisome namba wote tu
haya wasamaria wema haoooo[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Nimeguswa sana mama yangu na huu ujumbe wako.
Naomba nikusaidie kumsomesha mwanao mpaka form 4 halafu akimaliza nitajimilikisha mali kwa kuandikishiana kuwa nitamuoa binti yako.
Nitamsaidia hela ya ada mpaka matumizi ya binafsi shuleni,
Nitamuoa akimaliza form 4.
Tuwasiliane kwa namba hizi, ( +23476800115 )
Kwa sasa nipo nigeria, jimbo la ANAMBRA, biafra.
Iwo merin ikeje iworo osusan ife gbogbo yetunde jigon ewe ogure
ekefo akufun oswunde
Egu olane serembee nwowoa iruni gboni iboni
forosho enewe alakejo dalogun 2017.......
Inwo abeleke ijo gbona.
daaaa hapa kweli umetutoa tongotongoFanya yafuatayo kama kweli unataka msaada na uko serious.
1.Attach joining instruction ya shule ambayo inaonyesha akaunti namba na jina la akaunti ya kutuma ada (ili tujiridhishe kuhusu jina la akaunti ya shulr kuwa na jina la mtu binafsi)
2.Tupe namba ya mkuu wa hiyo shule ambae tunawea kumpigia na yeye akadhibitisha kuwa na mwanafunz huyo hapo shuleni.
3.Weka jina kamili la huyo mtoto wako, pamoja na namba yake ya mtihani ya kidato cha pili.
4.Attach pia kitambulisho cha shule cha huyo mtoto.
5.Toa maelezo ya mahali shule ilipo (mkoa, wilaya na kata if possible).
6.Barua ya utambulisho kutoja serikali ya kijiji/mtaa unapoishi wewe na mtoto wako, ikiwa na picha yako.
Ukiweka vitu vyote hivyo hapo mimi nitakusaidia, kwa kila kitu juu ya elimu ya huyo mtoto, na hautakuwa mkopo, bali msaada tuu.
Ahsante.
chimwemwe msumba
Bora ungenipa hyo hela nikale biaUkisikia utapeli wa mtandaoni ndio huu. Jana nilimtumia 20,000. Mpaka sasa sijapewa neno asante. Kwaherini
ase wew umenisemea nishatapeliwa sana sasa yatosha walobakia wataadhibiwa kwa makosa ya walotanguliaPole sana, ila binafsi hela yangu kutoka mpaka niende shule nika hakikishe yote haya, wengi watahukumiwa kwa ajili ya tabia za wengine waliowahi kudanganya
YES.. HESHIMA KWAKO. WEWE NI GREAT THINKER.. NIMEJIKUTA NAKUELEWA [emoji109] [emoji109] [emoji109].. IN SHORT KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE UNAMUHUSUKama kweli tapeli ameamua kuingia kazini unadhani atakupa namba ya mtu ambaye hajampanga?hebu amkeni basi!
Namba ziko wazi kwa kila mtu kupiga.Isije kuwa collabo mkuu la wagosi wa kaya na Las Lion
VIPI KAMA HIZO NAMBA NI ZA MATAPELI WENZAKE? SKIA USIAMINI SANA NAMBA ZA SIMUNamba ziko wazi kwa kila mtu kupiga.
Haaa haaaa ....almanusura Jana nimtumie mshiko wa maana...Ukisikia utapeli wa mtandaoni ndio huu. Jana nilimtumia 20,000. Mpaka sasa sijapewa neno asante. Kwaherini
Nafikiri ameweka shule, akaunt na jina la mtoto, ukiwa una nia ya dhati ukienda crdb kuuliza akaunti ya shuletajwa utaupata ukwelipole sana nimeguswa, lakini naogopa matapeli wengi siku hizi, hujui mkweli nani mwongo nani
Inawezekana, lakini ndio maana ya kujiridhisha, hupotezi kitu kuuliza.VIPI KAMA HIZO NAMBA NI ZA MATAPELI WENZAKE? SKIA USIAMINI SANA NAMBA ZA SIMU
Hapa naanza ??????Picha inaonesha mtoto ni wa kike... Alafu jina anaitwa Alex m. Mwasile? Huyo mtoto ni mJapana au?
Tuseme labda hiyo account ni ya kwako... wewe ni mme au mmke? Sijakuelewa?
Tapeli kakutana na tapeli na tapeli wa pili ni mkali kumshinda tapeli wa kwanzaNimeguswa sana mama yangu na huu ujumbe wako.
Naomba nikusaidie kumsomesha mwanao mpaka form 4 halafu akimaliza nitajimilikisha mali kwa kuandikishiana kuwa nitamuoa binti yako.
Nitamsaidia hela ya ada mpaka matumizi ya binafsi shuleni,
Nitamuoa akimaliza form 4.
Tuwasiliane kwa namba hizi, ( +23476800115 )
Kwa sasa nipo nigeria, jimbo la ANAMBRA, biafra.
Iwo merin ikeje iworo osusan ife gbogbo yetunde jigon ewe ogure
ekefo akufun oswunde
Egu olane serembee nwowoa iruni gboni iboni
forosho enewe alakejo dalogun 2017.......
Inwo abeleke ijo gbona.