Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

Hata wasiosuka kuna namna ya kuwapendezesha,kichwani pakapendeza. Lakini pia huenda unataka kumnunulia manguo ya kikahaba(ya kubana maumbile) hivyo kama sio hulka yake huwezi kumbadili. Kumbuka wakati unamuoa ulimkuta yuko rough? Au ameuanza yuko na wewe?
 
Wakuu habari.

Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka.

Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi minne hivi) ndio huwa anakubali kwenda saluni kusuka tena kwa ugomvi.

Hela za saluni kila mwezi natenga elfu hamsini hadi sabini hivi (kwa uwezo wangu wa kipato) ila mtihani ni kumshawishi akubali. Mara kadhaa nimejikuta natembea na vibinti vinavyopendeza au vinavyokubali nivipendezeshe nje ila hili linanikwaza sana maana sipendi kumsaliti. Hata kumtoa kwenda kununua nguo nzuri hataki mara nyingi.

Nahitaji ushauri namfanyaje huyu mke wangu ili moyo wangu uweze kutulia.

Asanteni.
Tafuta mrembo wa maana ,,,
Mtambulishe nyumbani ,,mwambiye mkeo huyo mdada ,, ndy house girl mpya hapo nyumbani.
Lakini iwe ni mission maalum.
Awe msafi kila wakati ,,saloon Mara kwa Mara..
Kila wakati anang'aa..

Sidhani kama mkeo atarudia tena makosa ya uchafu.
 
Wakuu habari.

Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka.

Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi minne hivi) ndio huwa anakubali kwenda saluni kusuka tena kwa ugomvi.

Hela za saluni kila mwezi natenga elfu hamsini hadi sabini hivi (kwa uwezo wangu wa kipato) ila mtihani ni kumshawishi akubali. Mara kadhaa nimejikuta natembea na vibinti vinavyopendeza au vinavyokubali nivipendezeshe nje ila hili linanikwaza sana maana sipendi kumsaliti. Hata kumtoa kwenda kununua nguo nzuri hataki mara nyingi.

Nahitaji ushauri namfanyaje huyu mke wangu ili moyo wangu uweze kutulia.

Asanteni.
hebu nitumie namba ya mkeo
 
No way the guy loves her, kina nyie hilo swala wala haliwasumbui😂😂😂😂
One in a million
Haujamsikia mleta mada kasema anachepuka kwasab b mke wake hasuki wala kujiweka smart sasa anampenda vipi?
 
Uwe una mtoa out na kumpeleka sehemu classic .. akajilinganishe na wengine huko
Toka nae akiwa rough hivuo hivyo
 
Wakuu habari.

Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka.

Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi minne hivi) ndio huwa anakubali kwenda saluni kusuka tena kwa ugomvi.

Hela za saluni kila mwezi natenga elfu hamsini hadi sabini hivi (kwa uwezo wangu wa kipato) ila mtihani ni kumshawishi akubali. Mara kadhaa nimejikuta natembea na vibinti vinavyopendeza au vinavyokubali nivipendezeshe nje ila hili linanikwaza sana maana sipendi kumsaliti. Hata kumtoa kwenda kununua nguo nzuri hataki mara nyingi.

Nahitaji ushauri namfanyaje huyu mke wangu ili moyo wangu uweze kutulia.

Asanteni.
Duh una bahati ya kumpata wife material ambao ni ki kizazi ambacho kinapotea duniani lakini ana bahati mbaya kampata mwanaume ambaye amejaza makamasi kichwani. Watu wanahangaika wapate wapi wa namna hiyo ambao wapo bize na watoto, miradi na tayari walishakana usichana wapo kifamilia zaidi na hata maisha yakidunda mjini mnaweza kwenda kijijini kuanza moja na mkaishi wewe akili yako ipo kwa magumegume ya mjini ambayo yanapenda kujiremba ili kuendelea.......
 
Kama zaman alikuwa anapendeza jaribu kukaa naye umuulize sababu nn? Mpaka asiwe anasuka pili anaweza asisuke ila akwa ananyoa tu kimtindo na anapendeza . kaaa naye muongee kiupole ataelewa na umwambia kuwa unapenda apendeze sku zote. ??
Ni watu wa Arusha tena mjini kabisa. Kipindi cha uchumba alikua akipendeza haswa sasa sijui ninini kimempata. inanitia simanzi
 
Huyo ataka ufanye maendeleo kwanza, mwanamke anaekupenda hujinyima kwa baadh ya mambo na kumpa fursa ya kufanya maendeleo mtu wake, hata kama hajakueleza hili jiongeze, mwanamke mwenye akili akiwa ndoani hujivunia maendeleo na si kupendeza.
Bora hata mumuambie ukweli.
 
Back
Top Bottom