Yupi nimpe mkataba wa kuwa mke wangu kati ya hawa wapenzi nilio nao wakuu

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari ya weekend ndugu zangu..

Naombeni ushauri wakuu

Nataka kuoa ila mpaka sasa nashindwa kujua ni yupi ni mchague hapa

1: huyu binti ni mchaga wa kimarangu

alisha wahi kua kwenye mahusiano , nilimtongoza ila akanizungusha sana sio kawaida huku akionyesha wazi kabisa kutokuniamini kabisa ila baadae akakubali kuwa mpenzi wangu..

TABIA ZAKE NILIZO GUNDUA

: -ni rahisi kumwendesha kwani ni mwepesi wa kufata maagizo ninayo mpa
:- hawezi kuja kukuachia mtoto tukizaa nar na kuja kutengana hata iwaje aliniambia kabisa hicho ni sahau, sito pata mtoto
:- Anaonekana ni mwenye hasira za haraka na maamuzi ya haraka ila ukimsomeshaa wewe anakubali kuachana na upuuzi wake
:- Anaomba sana hela japo nikimjibu sina anasema sawa hakuna shida
:- Yupo teyari kuolewa na kua mke
:-Alinipa ushauri wa kuuza vitu vya ndani baada ya kumtega kua sina hela ya kumsaidia kutatua matatizo yake
:-Na mkaushia sana ili nijue je ananiwaza au yupo yupo tuu si mtafuti na yeye anakaza ila nikikaza zaidi ana nitafuta mwenyewe na wala hata halalamiki
:-Yupo teyari kuishi maisha yeyote yale
:-Anamawazo sana ya kujenga kwao
:-Ana akili ya maisha na kufanya biashara yeyote ya kumpatia kipato na nikimwomba ushauri wa kiuchumi kwa kumpima anashauri vyema tuu..
:-Hana ujuzi binafsi zaidi ya elimu aliyo nayo ya diploma na hataki kua na ujuzi binafsi zaidi ya kutaka kufanya biashara tuu ila ujuzi binafsi hataki

2: Ni binti wa kabila la kimasai ila masai wa mjini na alishawahi pia kua kwenye mahusiano nilimtongoza ila akanizungusha kidogo baadae akanikubalia kuwa mpenzi wangu

Huyu bana mwanzoni alionyesha kunipenda sana ila gafla akaanza kubadilika taratibu taratibu na kuanza vituko

TABIA ZAKE NILIZO GUNDUA

:- Ni msiri sana sio muwazi mara nyingi
:-hasira za kipuuzi na unaweza kumuita gheto na ikitokea ume mkwanza kiutani utani tuu anaweza kuondoka bila kujali chochote
:- Anaomba sana hela na anataka hela za matumizi ilihali bado sija muoa japo sitaki kumpa
:-Anaweza kutembea na khanga na chupi tuu barabarani bila kujali chochote
:- Aliwahi kuniambia akikwazwa sana na mtu ana mdomo mchafu anaweza akamchefua mpaka basi, japo sijawahi shuhudia huo mdomo wake mchafu
:-Akikosea na ukimwambia haombi msamaha hatakidogo yani ni mgumu kuomba msamaha sio mchezo
:-Anaweza akakupotezea na usipo mtafuta alooo.. mnaweza mkamaliza hata mwezi na akija kukutafuta yeye ni lawama kibao
:- Nilimwalika gheto akapika chakula ila akanigomea kula kabisa
:- Akija gheto Anauwezo wa kukukatalia kumshika akiwa na hasira na ukipuuza ukamshika anatoka nje na kuondoka kabisa
:-Kwajinsi ninavyo muona ukileta utani anaweza akakususia mtoto nikija kuzaa nae na huwezi amini
:-Anawazo kwao na ni mbinafsi
:- Hana ujuzi wowote ila anajiona msomi na mimi najifanya mjinga hajui kama nimesoma sana level za juu kumzidi yeye

3: Binti wa kimeru.

Huyu binti aliwahi kua kwenye mahusiano na yakavunjika pasi na yeye kujua ilikuaje, alipata mpenzi mwingine na huyo jamaa alipo taka kumuoa kwao alikataliwa na kosa lajamaa lilikua nikuwapigia wazazi simu yeye mwenyewe na kuwaambia nakuja kumchukua binti yenu ikumbukwe baba yake alifariki, Nilimtongoza bila kujua yupo kwenye maomivu makali ya kukatakiwa kuolewa hivyo hakunipa wakati mgumu akanikubalia na kua mpenzi wangu

TABIA ZAKE NILIZO GUNDUA

:- Anapenda sana kuolewa , awe na mume na familia pia
:- ni mwoga wa kupigwa
:- Ana hasira
:- Akikuuliza swali hataki maelezo anataka ujibu "ndiyo au hapana"
:-Huyu kwenye kukumbukana naona tuna balance mizani, nikimpotezea atanitafuta na atataka kujua kwanini nilikua kimnya
:- Yupo teyari kuishi maisha yeyote na anaamini Maisha ni Mungu anapanga yawe ya juu au chini yeye haangalii hilo
:-Yupo teyari kuwa mama na kua mke yani ni mimi tuu kumwambia njoo tuishi
:- Anaweza kulea mtoto vyema tuu
:- Haamini jambo lolote linalo husisha maneno mengi, anapenda short and clear
:- Anaujuzi binafsi, ujuzi wa kielimu na nimchapa kazi
:- Ni mwelewa na ukigombana nae yupoteyari kuweka suluhu na mkae sawa tuu
:- Anaamini mapenzi na kupendwa ni thawabu sana
:- Anavaa nguo za heshima sana
:- haombi hela hata kidogo mpaka unajiuliza sana
:- Hana ndoto za kuendeleza kwao yeye anawaza maisha yake tuu ya ndoa yawe mazuri

4: Huyu binti ni wakimasai

Ni mchuga haswa yaani chalii wa Arusha. na mjanja kweli kweli anajua mambo mengi sana na huwezi mdanganya chochote kile , nilimtongoza akakataa na kuniambia hataki kuolewa ila matendo yake yanaonyesha amekubali kabisa na ana care haswa, Kwa kweli tumejikuta kwenye mahusiano ambayo yanaendelea hivyo hivyo

TABIA ZAKE NILIZO GUNDUA
:- Hapendi ujinga na ukizingua anakuchana hakuachi kirahisi
:- Yupo teyari kuolewa na mkazaa kimasiharamasihara
:- Anacheka na kila mtu habagui kwake yeyote ni msela mpaka unaogopa
:- Ananitafuta sana hakati tama anaweza kupiga simu mara 300 au kutuma message bila kukata tamaa na usipo jibu chochote ataendelea kukutafuta mpaka moyo ukusute mwenyewe uamue kumpokelea simu yake.
:- Ni muwazi sana hafichi kitu aliweza niambia alisha tumia hadi mgokhaa, na pombe kali
:- Hataki fashion yupo yupo tuu na anaweza akavaa rafu rafu na akaenda hata kwenye hotel kali bila kujali ataonekana vipi.
:- Ana hasira kidogo sana ila ukimtania analegea kabisa
:- Hana kiburi wala ujuaji japo ni mjanja ni ngumu kumdanganya kitu yani mtajibiana kwa hoja nzito
:- hayupo teyari kuolewa serious ila kimasihara yupo teyari umuoe na mzae pamoja.
:- Anasema ukizingua hupati kitu hapa ..yaani mtoto hupati sahau kabisa, hayupo teyari kukuachia mtoto mkizaa na mkaja kutengana , yupo teyari damu imwagike na sio mtoto akuachie anathamini sana mtoto japo hajazaa

5: BINTI WA KIPARE
huyu binti anaringa sana, muwazi mno kwangu hafichi jambo lolote lile, ni muelewa sana , hana kiburi, hana hasira , hana madharau, anapenda na kuishi na watu wote , anaheshima sio ya kawaida, aliwahi kua kwenye mahusiano ila jamaa aliyavunja mwenyewe kutikana na binti hakua teyari kuolewa kwa wakati huo, anamisimamo mikali sana akisema amesema, anajua kupambana na ana ndoto za mafanikio, anajua kulea hii nimeona anapokua na watoto wadogo wa watu wengine, anapenda sana dini sio kawaida.

Nikimtongoza ila amegoma kunipa jibu langu, nimemtega sana yupo teyari kuwa mke ila misimamo yake ndio inayo mrudisha nyuma kwani anaamini sana katika misimamo yake

Nimempotezea mara kadhaa kwa kigezo cha hatoi jibu langu ila amekua akinitafuta na kunijali sana isivyo kawaida haijalishi na mtafuta au si mtafuti ..Atahangaika kunitafuta.

Anaweza akanifanya kanipotezea ila moyoni anaumia na uvumilivu ukimshinda ananitafuta na lawama juu.

Nirahisi sana kumuendesha na kumtawala akisha kua mke.. ukizaa nae mtoto hawezi kumtelekeza na ndicho kifungo chake haswa

Haombi hela hatakidogo mpaka unashangaa

Anazo ndoto za kuendeleza kwao na ukoo mzima , yaani utoto mtupu hawazi kujenga maisha na mume wake atakapo olewa, anawaza kwao tuu.
Anapenda kupendwa ila utoto mwingi unamsumbua yani ni sitaki na taka.

NAOMBENI USHAURI WENU YUPI HAPA KATI YA HAWA WAPENZI WANGU NI YUPI NI MUWEKE NDANI WAKUU, HUYU WA MWISHO ( NAMBA 5) BADO HAJAWA MPENZI SERIOUS KUTOKANA NA SITAKI NA TAKA ZAKE NYINGI
 
Jibu ni moja πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20230510-233754~2.png
 
Una ndoto na maono ya maisha yako ya baadae???
Kama ndio basi achana na hao wote maana hakuna anayekufaa ndio maana huna maamuzi.
Tafuta mke wa kuwa msaidizi wakuendana na ndoto maono na matamanio yako ya hapo baadae.
 
Fata moyo wako ulipo sababu mapenzi sio yakushauri
 
Back
Top Bottom