Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,795
Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
 
_20240105_232418.JPG
 
Mkuu nikikushauri utanisikiliza?
 
Hana hisia na wewe sio kwamba hana hisia za mapenzi. Wewe sio mtu aliempenda au niseme mtu anaemvutia ktk hilo tendo ila una mazuri yako yaliyomvutia mfano huchepuki, unajua kulea familia, unapenda watoto, mtu wa kuishi vizuri na watu n.k.
Wanawake ni watu wa ajabu sana usijiaminishe kuwa hana mtu au hachepuki, kila mwanamke awe ndoani ama lah ana mwanaume ambae hawezi kumsahau maisha yake yote aidha alimpenda au alikuwa na hisianae sana.
 
Ndio mkuu
Sawa, hilo tatizo kama ni la siku zote.

Jaribu kubadili namna wewe na mkeo mnawasiliana

Then kama unataka game mwandae mapema, chat zako au maongezi yako yawe ya kimahaba. through out

M'bembeleze hata kwa kitu kidogo tu.(jitahidi).
Na siku unapiga mambo hakikisha unamwandaa vyakutosha.
Mwanamke ukimwandaa vizuri lazima akitupie.

Wakati unafanya usiache kumsemesha. Msifie isifie K' yake ongea hata uongo ila uwe romantic.
Anapaswa kufurahi ili mara nyingine atake tena.

Wake za watu huwa wanaliwa kirahisi kwasababu kuna mambo waume zao hawafanyi na hii ni nature.

Narudia tena, mwandae mapema kabisa.

Mtie mshawasha tokea mchana.

Asipochange sasa uingie ndani zaidi ujue hilo tatizo lake la kihisia linasababishwa na nini.
 
Mkuu, swali ni moja?

Je. Kabla hajazaa alikua hivyo hivyo au baada ya kuzaa?

Na kama hakuwa hivyo mwanzo na alipozaa akaanza kutumia uzazi wa mpango hasa njia ya kuchoma sindano au kuweka kijiti basi hapo ndo tatizo lilianzia.

Hizi njia za uzazi wa mpango zina side effects nyingi kwa wanawake na moja wapo ni kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa.

Fuatilia hilo, then Reverse it by abstaining those Contraceptives.

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
Kama nyuma hakuna na tabia hizo kuna mawili.

1- kakuchoka,hivyo analeta mazoea

2-kapata mwengine ,kuna jamaa anamshughulisha Acha kujipa moyo.

Ushauri.

Kila binaadam anatabia ya kuchoka hasa kama akiwa katika mazingira yaleyale....hivyo siku moja mtoe out mpeleke hotelin ukamzagamue huko....tuw na tabia ya kubadilisha mazingira.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom