Nyerere mbaya sana,aliuwa LINDI,kabla ya uhuru meli za nje zikuwa zinashusha mzigo,ndege zilikuwa zinatoka Cairo mojakwamoja LINDI,akaikuza Songea,Tanga ulikuwa mji mkubwa wa pili akaua akainyanyua ARUSHA akaua TABORA akainyanyua MWANZA pia Akaiua UJIJI akainyanyua IRINGA.Miaka ya 8O mwanzoni 90% wananchi wapikuwa wa ARUSHA SONGEA MWANZA IRINGA nk.walikuwa hawajui kuvaa SURUALI.walikuwa kama awalali na ng'ombe baei mbwa.vitanda vilikuwa ngozi.Sisi wote ni Watanzania ananikera NYERERE kwa UBWGUZI.Na historia ya TZ kaifuta.