Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

tuandike vitabu vingapi wakati tayar kuna vitabu vya historia vinavyoelezea ukweli wa histori.Unataka viandikwe vya nini tena? kwan hujasoma historia sheikh? au uliishia madrasa tu unasubir wenzako waje kukudanganya kukwambia sisi waislamu tunakandamizwa? ulalamishi ni roho, ni malezi, ni utamaduni. we hutak kusoma elimu hi ya ya kizungu... unang'ang'ania madrasa halafu unabaki kulalamika miaka yote tumepewa chuo kiwe cha kiislamu lakini waislamu wenyewe wenye uelewa wanapeleka watoto wao Tumaini, Saut. St Gasper n.k sasa hapa tutamlaumu nani? hatuhangaiki kusoma tunasubir watu kadhaa waje na hbr za vijiweni waseme wao ndo wapigania haki zetu... hawa hutumia psychology kutufungasha mabomu halaf wao hawataki kufa. osama pamoja na kuwatoa wenzake sadaka yeye alikuwa anakwepa kufa... huu si ujinga? tunakuwa brainwashed wewe mwenyewe umeacha kutumia hata nickname ya kiisalmu unatumia dos santos ya kikafiri. asalam aleikhum wa rahma tulay wabarakatuh.... kweli kuna kitu hapa? sisi ni akina nani wa kutia aibu kila siku? tunajidhalilisha kwa kujinasibu kinyonge kila siku na malalamishi tele. uarabuni tumefanya nini cha maana? hapa tanzania asilimia kubwa ya shule ni za kikristo sisi hatutaki kusoma tunakaa kutengeneza magaidi.

Chizi Maarifa,

Dos Santos atakujibu na mimi nakujibu kwa maswali yaleyale yako.

Haikatazwi kuandikwa kitabu kwa somo hilo hilo ambalo lishaandikwa.
Unaniuliza kama nimesoma historia...

Jibu ni ndiyo nimesoma historia ngazi ya Chuo Kikuu na nimendika vitabu
na kutoa mada kwenye vyuo vikuu.

Umeandika mengi ambayo adabu inanifanya nisikujibu ili na wewe upate
muda utafakari maneno yako baada ya kunisoma.

Unajinasibu na Uislam lakini hujui historia ya Waislam wa Tanzania.
Huenda huzungumzi na sisi nduguzo unazungumza na hadhira nyingine.

Hili si geni kwetu wala wewe si wa kwanza.
 
Huwa namsoma kwa makini sana Mzee Mtulivu ndg. Mohamed Said, hasa anapotoa historia ya ukombozi wa Tanganyika.Pamoja na kumpenda anapojibu hoja bila jazba, mjukuu wake ningependa nijue jambo mmoja.

Kwamba mashujaa wa ukombozi walikuwa "wazee wako" tu? Wazee wetu hawakuepo, katika stori zako zooote sioni ukiweka kumbukumbu juu ya uwepo wa wazee wetu,hata mzee wetu Nyerere unamuweka aki-hang-hang tu, haonekani kuwa hero. Vipi kuhusu John Lupia? Edger Maranta je! Tuseme huwajui au "umewakaushia"

Nifunze mzee

Okw...
Nimeandika kitabu kitafute utawasoma wote hao kwa urefu.

Edgar Marantha alikuwa askofu hakuhusika na siasa hata chembe.
 
OKW BOBAN SUNZU hao uliowataja wamekaa kama vile ni wakristo na huyu mzee yeye anaamini waliofanya hivyo ni waislamu... yeye anapotizama harakati za uhuru anatizama kwa mlengo wa kidini. bahati mbaya sana haijamsaidia maana kelele zote anazopiga na kujaribu kujitutumua bado watu wanamwona ni kama mpiga zumari barabarani ... yeye anajikita kupingana na mfumo kristo anadhani yeye alionewa na anaendelea kuonewa. ukiona mtu siku zote ni mlalamishi ujue psychological ana tatizo mimi nlifundishwa hivyo.

Chizi Maarifa,

Mimi sijapatapo "kupiga kelele."

"Haijanisadia?"
Sijakuelewa maana yako nifafanulie.

Mimi "sijitutumui."
Sina sababu ya kufanya hivyo.

Kuwa mimi ni "mpiga zumari..."
Akutukanae hakuchagulii tusi.

Ikiwa wewe ulifundishwa kuandika hivi na mwalimu wako mimi Maalim wangu
Sheikh Haruna kitu cha kwanza alichonifunza ni adab.

Hakuishia hapo alinambia kuwa hiyo ni kutoka mafunzo ya Mtume SAW na
hakuishia hapo akanambia hayo ni mafunzo yake Allah SW.

Hakuishia hapo akanambia ikiwa nitayafuata mafunzo hayo nitafanikiwa
duniani na akhera.
 
Huyu Mzee Mohamed Said hana nia ya dhati ya kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika,ila ana mtima nyongo.Kwa sababu kama kweli anasema iliyokuwepo iliacha wazee wake wa kkoo sasa mbona yake imeacha wazee wengine.Namshauri afanye tafiti kama alivyofanya kwa kuhusu wazee wake afanye na kwa wengine ili aje na historia iliyokamilika.Au aandike historia ya kkoo nafikiri itafaa zaidi kuliko kutudanganya.

Betty,
Usinilaumu.

Kitabu chochote kina mipaka yaani, "demarcation."
Nisingeweza kuandika habari za kila mahali.

Nimesema mara nyingi kuwa na wengine waandike
historia za kwao ili historia hii yetu ikamilike.
 
Betty,
Usinilaumu.

Kitabu chochote kima mipaka yaani, "demarcation."
Nisingeweza kuandika habari za kila mahali.

Nimesmea mara nyingi kuwa na wengine waandika historia za kwao ili historia
hii yetu ikamilike.

Wasomaji nadhani mnapata taabu kuelewa huyu jamaa aliandika historia ya wazee wa kiislamu na siyo historia ya Tanganyika kwakuwa haijui

Nahili nijambo la kawaida mtu akitafuta historia ya jambo fulani kwa manufaa yake inakubalika ingawa nidhambi tena kubwa kuupotosha UMA kwa uwongo hii ni kwadini yoyote Duniani haikubaliki

Mwisho msiumize kichwa kuuliza maswali wala kujuwa jambo kuhusu Tanganyika kwanza alikuwa hajazaliwa pili Tanganyika haimuhusu ila kinachomuhusu ni Dini yake na viongozi wake ambayo haikatazwi kisheria
 
Wasomaji nadhani mnapata taabu kuelewa huyu jamaa aliandika historia ya wazee wa kiislamu na siyo historia ya Tanganyika kwakuwa haijui

Nahili nijambo la kawaida mtu akitafuta historia ya jambo fulani kwa manufaa yake inakubalika ingawa nidhambi tena kubwa kuupotosha UMA kwa uwongo hii ni kwadini yoyote Duniani haikubaliki

Mwisho msiumize kichwa kuuliza maswali wala kujuwa jambo kuhusu Tanganyika kwanza alikuwa hajazaliwa pili Tanganyika haimuhusu ila kinachomuhusu ni Dini yake na viongozi wake ambayo haikatazwi kisheria

Mazoko,
Utapata tabu sana na utajizonga na mengi.

Mwaka wa 1988 ili kuadhimisha miaka 20 toka Abdul Sykes afariki,
mdogo wake marehemu Ally Sykes aliniomba niandike kumbukumbu
na yeye atanunua nafasi "Daily News" na "Uhuru," ili kumbukumbu ile
ichapwe.

Mhariri wa Daily News wakati ule Reginald Mhango akasema hawezi
kuchapa ile kumbukumbu kwa kuwa inagusa historia ya taifa hadi amepata
ruhusa kutoka Dodoma, Makao Makuu ya CCM.

Maneno haya alimweleza Kleist mtoto wake Abdulwahid.

Kleist akamwambia kuwa hiyo ndiyo historia ya baba yake iwe
imegusa taifa au vinginevyo hiyo ndiyo historia ya baba yake kama
inavyofahamika na wengi.

Wewe unasema mimi siijui historia ya Tanganyika.

Iwe itakavyokuwa lakini haya ninayoandika ndiyo yaliyotokea
Tanganyika wakati ule iwe Tanganyika na historia yake naijua au
vinginevyo.

Kuwa mimi ni muongo hapana.

Nimeieleza historia hii kwingi na kitabu changu ndiyo kwa sasa
kinachokubalika na kusomeshwa katika vyuo vingi Ulaya na Marekani.

Kleist alimuelekeza Mhango asome taazia ya baba yake iliyoandikwa
na Brendon Grimshaw aliyekuwa mhariri wa Tanganyika Standars katika
Sunday News la tarehe 20 Oktoba 1968.

Fanya uatafiti litafute hili gazeti katika Maktaba ya "Daily News"
usome kama mimi ni muongo au nasema kweli.
 
Unajuwa maana ya "Professor" au unajisemea tu?

Unajuwa hiyo paper ya Hirji imetoka lini mara ya kwanza na wangapi wameisoma na kusadiki hiyo 'error" bila kujuwa kama ni error? Fikiri.

Duh! Samahani Shemeji, naona nilikugusa kunako! nisamehe sana nilikuwa nachangia tu.
 
OKW BOBAN SUNZU,

Walikuwapo mashujaa wengine mimi nimewaandika wazee wangu kwa kile ninachojua wamekifanya.

Siwezi kuandika mashujaa wa Tandahimba au kwingine kwa siwajui wala sijapata kuwasikia.
Tukiacha kina Mkwawa, Isike, Songea na Meli wa miaka hiyo waliotengeneza mazingira ya kuwaonyesha wazee " waliosoma" kama kina Mwangoka, Bomani,Patrick Kunambi,Kutoka Dodoma-Mtemi Mazengo,Mzee Kayanda, Mama Kalunde na wengine wengi kabisa ambao historia imewasahau.
Sasa mkuu wewe unatoa historia ya wazee wa mtaa wa Saigon tu kila siku.
 
Back
Top Bottom