Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

Hayo matusi saSa.
Yaani Nyerere walimpa suruali? Mtumishi,tena mwalimu hakuwa na suruali?
Hata familia yake ilikuwa ya kichief haikuweza kumfanya anunue hata suruali.?
ndio maana huwa hawaishi dhihaka kwamba Nyerere wao ndio walimfundisha ustaarabu hadi kuchelea kusema kwamba suruali walimpa wao.
daaaah!
 
Nakushauri mzee Mzee Mohamed Said kuachana na thread hii yakihuni.
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini historia ya Kariako ndio ikawa historia ya Tanganyika ?.Huu ni uhuni wa baadhi ya watu waliamua kwa maksudi kupotosha histria ya taifa letu tukufu la Tanganyika.Bora Mohamed na genge lake wangesema wazi historia ya Kariako na si Tanganyika.
 
OKW BOBAN SUNZU,

Walikuwapo mashujaa wengine mimi nimewaandika wazee wangu kwa kile ninachojua wamekifanya.

Siwezi kuandika mashujaa wa Tandahimba au kwingine kwa siwajui wala sijapata kuwasikia.

Na mimi nikiandika wazee wangu tu wa pale NYOLOLO MAFINGA na kuweka mipaka kuwa "HAWA NDIO WALIOLETA UHURU WA TANGANYIKA" kama ufanyavyo wewe, je taifa litakuwa na historia?
 
Ye kasema kitu anachokifahamu hutaki unaacha, kuna wazee wengine wafuaten mpate historia...
 
Na mimi nikiandika wazee wangu tu wa pale NYOLOLO MAFINGA na kuweka mipaka kuwa "HAWA NDIO WALIOLETA UHURU WA TANGANYIKA" kama ufanyavyo wewe, je taifa litakuwa na historia?
alafu utake ifundishwe skuli,angekuwa wa umri wangu ningesema amedata,ila kwa kuwa ni Mzee nasema kapitiwa,mie sie DC Makonda
 
Huyu ni mgalatia Mohamed hawezi kumtia katika kitabu chake kamwe.

Hivi OSCAR KAMBONA hahusiki kabisa na uhuru wa Tanganyika!??

Naona anapotezewa sana huyu katika historia ya Tanganyika!
 
Huyu ni mgalatia Mohamed hawezi kumtia katika kitabu chake kamwe.
Mzee yupo wapi kuyakana haya.Kwa bahati mbaya sana ameanza kuchangia kwa kujikata mtama!akiwakana wazee wagalatia kwamba hawajui,wawezaje kuichambua TANU bila kumtaja Lupia?
 
Pale Moshi katika hotel ya Marehemu Mzee Mbowe ikijulikana kama Kilimanjaro hotel palikuwepo picha kubwa ya Mw.Nyerere kavaa kaptura ameshikwa mabegani na Mzee Mbowe huku amevaa suti kali enzi zile.sijui hii picha chanzo chake ni nini??au ilipigwa baada ya Mzee MBOWE kutowa msaada kwa Mwl.au Mbowe junior atueleze na atuwekee hiyo picha.
 
Teh teh teh...kuna watu wanaota ndoto za mchana kweupeee. Ni udini tu unaotusumbua. Tusipojua kuchukua ukweli kwamba yaliyopita si ndwele tugange yajayo, tutaendelea kuchekesha kwa karne nyingi zinazokuja. Dunia inazunguka wakati sisi tumesimama tunashangaa yaliyopita.
 
OKW BOBAN SUNZU,

Walikuwapo mashujaa wengine mimi nimewaandika wazee wangu kwa kile ninachojua wamekifanya.

Siwezi kuandika mashujaa wa Tandahimba au kwingine kwa siwajui wala sijapata kuwasikia.
Babu,
kama umezunguka huku na huko ndani na nje ya nchini kukusanya taarifa zenye uhusiano na wazee wako wa kariakoo gerezani ktk harakati za kupigania uhuru,umeshindwaje kutumia juhudi hizo hizo kuandika historia ya wazee wa mikoa mingine ktk kupigania uhuru?.au unataka kutuaminisha kwamba historia ya nchi hii inaanzia viunga vya kariakoo na kuishia kariakoo?.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom