wabara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,500
- 706
kumbe huyu mzee anatuandikiaga historia ya kariakoo ?
Jaribu kuandika nawe hata mistari mitatu /minne ya historia ya hapo uishipo ...!?
Walijaribu ati kutaka fanza mnaaqasha hao wapotofu wa staha/ stahamala akina Yericko Nyerere na kijikundi chake juu ya ati rududi ya Alhabeeb Muhammad Said walaakin majawaba yao soote tuliyashuhudia...!?
Na kwa nini mwakosa hishma kunako uulizaji wenyu wa ati masuali /maulizo juu ya wale muwaulozao ...!?
Ninyi mnalengo la kujifunda ama kuharibu hishma ya mtandao hunu wa Jf ....!?
Acheni tabia kama za "WANAHARAMU ", jifundeni staha katika Minaaqasha /majadiliano.
Nipo kipembeni hapa ...!
Last edited by a moderator: