Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,433
- 139,511
Huwa namsoma kwa makini sana Mzee Mtulivu ndg. Mohamed Said, hasa anapotoa historia ya ukombozi wa Tanganyika.Pamoja na kumpenda anapojibu hoja bila jazba, mjukuu wake ningependa nijue jambo mmoja.
Kwamba mashujaa wa ukombozi walikuwa "wazee wako" tu? Wazee wetu hawakuepo, katika stori zako zooote sioni ukiweka kumbukumbu juu ya uwepo wa wazee wetu,hata mzee wetu Nyerere unamuweka aki-hang-hang tu, haonekani kuwa hero. Vipi kuhusu John Lupia? Edger Maranta je! Tuseme huwajui au "umewakaushia"
Nifunze mzee