Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

Remote kule kwenye uzi wa fastjet nilikwambia nipe ushuzi nikukatie ticket ya kwenda mwanza... vipi sasa utanipa lini
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said hana mda mchafu wa kuja kujibizana na waoza meno hapa... sisi tupo na nyie mzee MS mwache abaki kwa leprofeseri hirji
 
Last edited by a moderator:
Ulitaka wamwandike nani zaidi ya Mwl Nyerere au unafkiri hao wazee wenu wa Kariako wana thamani kubwa kuliko wazee wa Mufindi,Meru,Uvinza...... Acheni unazi wa Kijinga Kariako yenyewe ndio hivyo tena hakuna Mzaramo wala Mndengereko wabara wameshaivamia wenyeji wamekimbilia nje ya viunga vya jiji.



Mimi siwezi kusoma upuuzi wa Mohamed Said kwanza hana uwezo wa kubadili historia ya Tanganyika kamwe tunamwacha aendelee kuandika ujinga wake wa Gerezani akidhani ndio Tanganyika.
Wewe una wivu wa kike tu ndio unakusumbua, kaa kimya kariakoo bado ipo mikononi wa Waislam, hizo nyumba mbili za wachaga ndio unataka kuleta porojo, unajua kama wachaga wakirsto kariakoo waliwauzia Waislam Kanisa.
 
Wagalatia bwana ndio maana wanaitwa KONDOOO mnyama asie na akili kuliko wanyama wote... kondooo hahahahaha mikondooooo Bill Cosby
 
Last edited by a moderator:
Mohamed hana lolote labda huko Saigon ndio wanaweza kumwona wa maana.
Ngongo

Tia stahamala kwa walokutangulia umri japo kwa dharura au pia wapata kiza ....!?

Dhereu si pahala pake na ukomavu wa busara, nakutaragi ulete mbadala wa kile ambacho chasomwa na Ulimwengu kukhusiana na tareekh/ History ya Tanganyika kupitia kwa Mohammed Said ...!


Mangine mjaribuyo kuyafanza hapa ni kuonesha kama madogo yamekushindeni hayo makubwa yatakuwieni vipi ....!?

Kuwa msomaji ni bora kuliko kufanza maropoko uka/ mkajivua uthamani ambao ulikukhusuni...!

Nipo kipembeni hapa nakusubiri.
 
Last edited by a moderator:
Heshima Kwako Sidney,naoma utupe picha za enzi hizo za kariakoo,lumumba na magomeni,niliambiwa k/koo kulikuwa na barabara za vumbi.

Daah ! Kweli viumbe wa Mungu wanakhilaafi nyangi ziso kifani....!?

Huyu naye kaja na lake lomsibu....!?

Sasa pale pale Maktaba /kumbukumbu ya Taifa hupafahamu ....!?

Hata kama upo mbali na Dar es salaam, kama unayo haja/ nia ya kuyafahamu hayo, gharama sizikhofu jikusanye na jongea pale katafute ...!?

Ilimu haipatikaniki kibubusabubusa kama wangi wadhaniavyo ....!

Nipo kipembeni hapa.
 
Mohamed Said usiwajibu lolote hawa miguruwe hapa mtu kama huyo mla mbwa Yericko Nyerere hana hadhi hata ya kukusogelea achana na ku debate na wewe... mkuu usijibu chochote waache wagalatia wajiulize na kujijibu wenyewe kama kule madhahabuni

nguruwe babako acheni udini nyie pumbavu

upotoshaji umemikaa rohoni
 
Last edited by a moderator:
Hakuna sehemu wakaacha kulalamika hao waislam, ni dunia nzima.
Jana kuna wengine nimewasikia na kuwaona Channel Ten habari ya saa 1 Jioni wa wilaya ya Mkuranga wanalalamika eti wanakufa njaa serikali iwapatie chakula. Ajabu kweli hii, wana mikono na nguvu ila hawaitumii.
Yaani hawa viumbe walalamishi na wavivu mpaka inaudhi.

Angalia Ushikashifu Silazima Kwa Ajili Ya Njaa Mkuranga Na Maandishi Ya Mohamed Said Yakufanye Utukane Waisilam Halafu Maandish Haya Sio Msahafu Ambao Ndo Mwongozo Wetu Mkuu Chunga Sana Ntakulipua Saa Nusu
 
Ulitaka aandike historia ya mzee Edwin Mtei aliekataa kupigania Uhuru na Nyerere?
 
Wabara

Hawa watu wamemkosea ADABU HATA MUNGU WAO HADI KUFIKIA HATUA YA KUSEMA KWAMBA ALIDUNDWA NA KUTUNDIKWA MSALABANI HUKU AKIVISHWA NUSU UCHI UNA HAJA YA KUWASHANGAA??

HATUNA HAJA HIYO

HAWA NI WA KUHURUMIA TUH

maswala ya mungu yametoka wapi hebu mlete mzee wenu hapa ajibu maswali na vizee vyake vya kariakoo
 
Mohamed Said hana mda mchafu wa kuja kujibizana na waoza meno hapa... sisi tupo na nyie mzee MS mwache abaki kwa leprofeseri hirji

hahahahaa hana lolote anapunga majini maimuna sasa aje adanganye umma na historia zake za ghahawani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom