Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

Mohamed Said, Mashujaa walikuwa "wazee wako" tu?

Wabara

Hawa watu wamemkosea ADABU HATA MUNGU WAO HADI KUFIKIA HATUA YA KUSEMA KWAMBA ALIDUNDWA NA KUTUNDIKWA MSALABANI HUKU AKIVISHWA NUSU UCHI UNA HAJA YA KUWASHANGAA??

HATUNA HAJA HIYO

HAWA NI WA KUHURUMIA TUH
Jaribu kuandika nawe hata mistari mitatu /minne ya historia ya hapo uishipo ...!?

Walijaribu ati kutaka fanza mnaaqasha hao wapotofu wa staha/ stahamala akina Yericko Nyerere na kijikundi chake juu ya ati rududi ya Alhabeeb Muhammad Said walaakin majawaba yao soote tuliyashuhudia...!?

Na kwa nini mwakosa hishma kunako uulizaji wenyu wa ati masuali /maulizo juu ya wale muwaulozao ...!?

Ninyi mnalengo la kujifunda ama kuharibu hishma ya mtandao hunu wa Jf ....!?

Acheni tabia kama za "WANAHARAMU ", jifundeni staha katika Minaaqasha /majadiliano.

Nipo kipembeni hapa ...!
 
Haya ya hawa vijana(siyo Mzee Mohamed) ni majibu au taarabu?

Mkuu mie ninachomwelewa Mohamed Said ni kwamba katika vitabu vya historia sio kwamba vyote ni uongo bali kuna vingne havijawekwa katika vitabu labda kwa bahati mbaya au makusudi. Alitoa mfano wa wale mashujaa wa Songea na watu walivyoharibu historia eti tasbihi wakaita rozary
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenye heshma zake hawezi kujibishana na wanywa viriba kama akina Yericko Nyerere.Mzee wawatu katulia kiiimyaaa anawacheki wasiojua wanavyojitekenya na kucheka wenyewe
Atlast umekubali kuwa KAMBARAGE MCHONGAMENO SIYO MZEE WAKO SI NDIYO??

TAPELI MKUBWA WEWE

teh teh teh

WE MLA MBWA BILA KUKUFUNGIA KAZI KIPINDI KILE UNGEWAINGIZA MJINI WATU WENGI SANA WEWE.
Mohamed Said Mzee wangu hapa naona hakuna wa kupaswa kujibiwa hata mmoja

Tuendeleee na yule THE LEPROFESERI KIHIYO.

Kina yericko msambila hata kwenye viatu tuh wahafit.

SHUKRANI.
 
Last edited by a moderator:
Jaman hivi Mzee Mohamed Said is a real thing hapa JF ama kuna mtu anatumia tu ID yenye jina la huyu Mzee ?
Maana yuko active mnoo hapa JF kulinganisha na umri wake.
Pamoja na ubaguzi wake na udini uliokubuhu,namkubali sana huyu Babu
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini historia ya Kariako ndio ikawa historia ya Tanganyika ?.Huu ni uhuni wa baadhi ya watu waliamua kwa maksudi kupotosha histria ya taifa letu tukufu la Tanganyika.Bora Mohamed na genge lake wangesema wazi historia ya Kariako na si Tanganyika.
Vipi ile historia ya Kivukoni ilionzia kwa Nyerere na kuishia Nyerere siyo uhuni.
 
Mzee jishughulishe basi kama mwanahistoria kutafuta historia ya watu wengine ambao ni mashujaa. Maana si kweli kwamba "wazee wengine wa dini zingine" hawakushiriki kikamilifu mchakato! Kama unajishughulisha kutafuta historia za "wazee wako tuu" basi unakuwa biased katika historia zako.

kitendo tu cha kusema anajishughulisha ba historia ya wazee moja kwa moja ame'disqualify kuitwa mwanahistoria na hicho akiaandikacho kamwe hakiwezi kuwa historia.
Badala twaweza sema ni ngano, visasili n.k
 
Mohamed Said usiwajibu lolote hawa miguruwe hapa mtu kama huyo mla mbwa Yericko Nyerere hana hadhi hata ya kukusogelea achana na ku debate na wewe... mkuu usijibu chochote waache wagalatia wajiulize na kujijibu wenyewe kama kule madhahabuni

Hapa hakuna suala la uyemen, ugalatia wala ukorinto tunataka ajibu hoja zilizopo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna sehemu wakaacha kulalamika hao waislam, ni dunia nzima.
Jana kuna wengine nimewasikia na kuwaona Channel Ten habari ya saa 1 Jioni wa wilaya ya Mkuranga wanalalamika eti wanakufa njaa serikali iwapatie chakula. Ajabu kweli hii, wana mikono na nguvu ila hawaitumii.
Yaani hawa viumbe walalamishi na wavivu mpaka inaudhi.
Kuwa na nidhamu na imani za wenzako, hivi mtu akitoa hukumu kwa maskofu na wachungaji mashoga kuwa ndio Ukirsto itakuwa sawa?
 
Vipi ile historia ya Kivukoni ilionzia kwa Nyerere na kuishia Nyerere siyo uhuni.

Ulitaka wamwandike nani zaidi ya Mwl Nyerere au unafkiri hao wazee wenu wa Kariako wana thamani kubwa kuliko wazee wa Mufindi,Meru,Uvinza...... Acheni unazi wa Kijinga Kariako yenyewe ndio hivyo tena hakuna Mzaramo wala Mndengereko wabara wameshaivamia wenyeji wamekimbilia nje ya viunga vya jiji.

Haujakisoma kitabu chake unacholeta wewe ni ushabiki mandazi tu, mbona katajwa kama mfadhili wa TANU.

Mimi siwezi kusoma upuuzi wa Mohamed Said kwanza hana uwezo wa kubadili historia ya Tanganyika kamwe tunamwacha aendelee kuandika ujinga wake wa Gerezani akidhani ndio Tanganyika.
 
Pamoja na kuwa kuna elements za udini na attempts za kumfuta Nyerere na wengine kwenye historia ya Tanzania, na kuwasema waislamu kuwa ndio wakombozi wa nchi hii, naona Mohamed ana haki ya kueleza mchango wa familia yake.

hatukatai kueleza mchango wa familia, ukoo, washikaji, wazee wake.

Ila tunachopinga ni hizo stori zake za kifamilia kuziita historia ya uhuru wa Tanganyika.
 
Mohamed Said usiwajibu lolote hawa miguruwe hapa mtu kama huyo mla mbwa Yericko Nyerere hana hadhi hata ya kukusogelea achana na ku debate na wewe... mkuu usijibu chochote waache wagalatia wajiulize na kujijibu wenyewe kama kule madhahabuni

Punguza ukali wa maneno.
Usije kukosa kuingia peponi na mwishoe ukose wale mabikra 70
 
Last edited by a moderator:
Wabara

Hawa watu wamemkosea ADABU HATA MUNGU WAO HADI KUFIKIA HATUA YA KUSEMA KWAMBA ALIDUNDWA NA KUTUNDIKWA MSALABANI HUKU AKIVISHWA NUSU UCHI UNA HAJA YA KUWASHANGAA??

HATUNA HAJA HIYO

HAWA NI WA KUHURUMIA TUH

Alhabeeb THE BIG SHOW,

.... Assalaamu alaykum warahmatullaah,

Mefurahika mno kutana nawe hapa kibarabarani pa kubadilishana fikara ....!

Kilma chako chakubalika akilini mwangu pasi na utata kattu...!

Nipo kipembeni hapa nakusomeni kwa undani mno Waalimu zangu.

Ahsanta !
 
Last edited by a moderator:
Wabara

Hawa watu wamemkosea ADABU HATA MUNGU WAO HADI KUFIKIA HATUA YA KUSEMA KWAMBA ALIDUNDWA NA KUTUNDIKWA MSALABANI HUKU AKIVISHWA NUSU UCHI UNA HAJA YA KUWASHANGAA??

HATUNA HAJA HIYO

HAWA NI WA KUHURUMIA TUH

acha udini na kashfa kwa imani ya wenzako upo nje ya mada.
Juzi juzi tu hapa uliomba tuheshimiane imani zetu kwenye post ya kuomba radhi juu ya mahakama ya kadhi.
 
Mohamed hana lolote labda huko Saigon ndio wanaweza kumwona wa maana.

hahahahaha!! Hivi kweli Mohamed Said hawakimbie nyie wachovu kumbe ndio uwa mnajidanganya, Mohamed Said kuwajibu nyie atakuwa anajidhalilisha tu.
 
Back
Top Bottom