Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
manoah habari zako bana. Uko salama wewe
Nisalimie akina charminglady, Blaki Womani, gfsonwin, snowhite, Preta, Lily Flower, Madame B,
Akina Arushaone, Erickb52, stevoh, Mungi, St. Paka Mweusi, PakaJimmy, LiverpoolFC, kapistrano, Ruttashobolwa
mimi je!bidae nitakumeet pande zileee!
Sijui wewe na familia yako.
manoah habari zako bana. Uko salama wewe
Nisalimie akina charminglady, Blaki Womani, gfsonwin, snowhite, Preta, Lily Flower, Madame B,
Akina Arushaone, Erickb52, stevoh, Mungi, St. Paka Mweusi, PakaJimmy, LiverpoolFC, kapistrano, Ruttashobolwa
sweetlady tumempiga marufuku kutoka nje ya geti manake unamfundisha tabia mbaya binti yetu............. hatukubali umwondolee bikra mtoto wa watuMadame B naona manoah kaingia mtini na salam zenu. Asante kama ni mzima kabisa. Mimi na familia tuko salama kabisa
charminglady namshkuru Mungu niko salama kabisa na familia
Lily Flower na Mungi nashukuru kwa salam.
Nimeanza kupiga ulabu maana naona mmeamua kuninyang'anya mke wangu mtarajiwa sweetlady mkaenda kumuuza kwa kibabu. Hata mazoezi hayafanyiki tena
Blaki Womani nimekumiss wewe acha kabisa
Mungi na Lily Flower mbona mnaingilia sana anga za watu. Nawatafutia nafasi vitu vyenye ncha kali vitawahusu sana
manoah habari za jioni kaka. Hope umeimaliza siku salama kabisa
manoah habari zako bana. Uko salama wewe
Nisalimie akina charminglady, Blaki Womani, gfsonwin, snowhite, Preta, Lily Flower, Madame B,
Akina Arushaone, Erickb52, stevoh, Mungi, St. Paka Mweusi, PakaJimmy, LiverpoolFC, kapistrano, Ruttashobolwa
Kwan Marry Hunbig ndiye Mamndenyi???
Name calling! Be warned!
Name calling! Be warned!
stevoh mbona unanichanginyi hapo sasa
Kwani Marry Hunbig ndio Mamndenyi
Najua Mamndenyi ni mke wa Vin Diesel sasa ametoka wapi kuwa Marry Hunbig aise
Usinitafutie ugomvi kwa Baba V na Vin Diesel aise