Jamani msiangaike sana, dawa yao ndogo sana. Msiwe mna wa quotes, kuwapa like wala ku comment thead au post zao. Wafuatao:
MzunguMndali
C.T.U
Na wengineo waenye tabia sizo wapendaza wana CC
Ngoja na mie ni ka ignore.
nzuri manoah, vipi lile jimbo unalotaka kugombea? Nasikia profesa maji marefu ndo mganga wako na ushaanza kuwekeza kwake
Mie, nasaidiana na andy chande, naenda kuchukua Bukene si unajua ndio alipotokea pale, kwaiyo kaniambia nitulie kwanza
Usinisahau kwenye makampeni meneja..... si wajua tena siasa ndo mpango mzima wa kutokelezea kimaisha
manoah habari zako bana. Uko salama wewe
Nisalimie akina charminglady, Blaki Womani, gfsonwin, snowhite, Preta, Lily Flower, Madame B,
Akina Arushaone, Erickb52, stevoh, Mungi, St. Paka Mweusi, PakaJimmy, LiverpoolFC, kapistrano, Ruttashobolwa
mi sijambo dear!wewe je?
familia,hasa mama yao?(huo ndo uzima wenywe bana)
Shemej u hali gan wewe? Nimeku miss sana yani.
snowhite mimi na familia yaani mama na watoto wako salama kabisa tunamshukuru Mungu. Naamini na wewe uko salama dear