Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Nami zazipokea salam zako kwa dhati kabisa na kukupongeza kwa kupewa chata la premium member. Lol...........naomba nijipendekeze nije nikufunde ndani wakati wa kusubiria harusi na pia siku ukiwa mjamzito nikufunde "kikoa" nafikir hapa Zinduna atanisaidia. ukikubali ni pm nikuandikie vifaa vya kununua kwa ajili ya kazi iyo.
mwambie somo wako Mwali hilo kwani ndo atakuwa mleta habari kwetu, na siku ya mahari yako basi Asprin, Mbu EMT Darkcity ndio wapokee.
AshaDii MwanajamiiOne@firstlady hawa watakuwa ndio mama zako, wakati Preta, KongoshoSmile na shostito Kipipi hawa watakuwa wacheza show wako.
Ambitious MziziMkavu Mwanamtokapabaya Bishangahawa watakuwa wazee wenyewe yaani wakwe zako wa kiume so uwaheshimu sana sana hawa.
mama mkwe ni nani vile Lizzy, @roussianroullete@ hawa ni noma manake hawabebeki lol.................. jitahd sana juu yao hawa manake ni gunia la misumari hawabebeki hawa.
mawifi zako ni Kaunga charminglady Cantalisia hawa na wenyewe ni debe lenye makaa ya moto lol.......... sijui utafanyeje.
Mr Rocky atakuwa MC, boss EMT na Ndahani hawa ndo ma DJ wetu wa siku hiyo.
msasambuaji atakuwa Kongosho. wengine watakuwa wageni waalikwa tu kama akina Paw etc
naona nimeshapata event organiser. :cheer2: teh teh teh. mwaaaaaaah!
ila Ambitious tuna mchongo hawezi kuwa mkwe. utaua bendi.
na Mwana Mtoka Pabaya ananinanga sana kweli tutaiva?
Last edited by a moderator: