Mods anzisheni jukwaa la salamu

Mungu wangu baba wa mbinguni naomba uwasamehe watumishi wako Erotica na RR dhambi zao zote walizotenda hapa duniani na vitandani, tangu walipozaliwa mpaka watakapo RIP. Kwakuwa mwenyewe unaona jinsi walivyomwaga haya mayuziful posts hapa chini.



Wafuatao wanasalimiwa na ODM akiwa kitandani bila kuzingatia itifaki... AshaDii. RussianRoulette, sweetlady, MwanajamiiOne, Cantalisia, @Zion Daughter, bht, Preta, Blaki Womani, Kongosho asali ya ODM, King'asti, FirstLady1, Amyner, mkwe Fixed Point, agemate Mamndenyi, Mwalimu Gaijin Kabakabana, Mdaiwa wangu sugu Prishaz Lily Flower na nani tena ooh doh huyu sio wa kumsahau, mzaa chema wangu gfsonwin.... Ujumbe: Karibuni kaunta ya juu...

Midume mtanisamehe sana. Hapa anasalimiwa tabibu mwenzangu klorokwini peke yake... Ujumbe: Ongeza juhudi, wodi imefurika huku.

Samahani eti leo ni jumangapi?

Baada ya kusema hayo natangaza rasmi.... SRED KLOZD..:iamwithstupid:
babu asante kwa kuniamsha, eti hata mimi ndo naamka saa hizi............... umeshaambiwa ni jumangapi? maana hata mimi sielewielewi
 
Orait,salam zangu za kwanza nimfikie mme wangu kipenzi Rejao akiwa hapa pembeni yangu,mwaaaaa darling wangu,

Bila kuwa sahau mashemeji zangu wapendwa Kaizer Erickb52 BAGAH Nicas Mtei Judgement,

Maswahiba wangu Mphamvu SALOK sobhuza TANMO MUSSOLIN,@Exellent EMT,klorokwini@uporoto1,Mr Rock Fidel80 The Finest kashengo na wengine wote wa chit chat na MMU,

Mababu Asprin Darkcity Bishanga na baba yangu Mtambuzi,

Madada na mawifi @Ashadii @King'ast sweetylady FirstLady Preta Mamndenyi @Kipipi Smile Kongosho Kaunga Kabakabana BADILI TABIA charminglady qeenkami Zinduna na wengine wooooooooooooooooooooooote

Athante swahiba wangu Cantalisia salamu zako nimezipata nimefurahi nitakutumia nauli ya procession air go-return uje harusini bana umuone wifiyo aaahaaa ahaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom