Eroticah, naomba uji wa kungu usikosekane siku ya hina, kibao kata na haswa kitchen party, ile makitu inahusika sana hatutaki ukatutie aibu, mie nimejitolea kuleta kungu lile originali la comorro, tunalimix na la zenji! na baada ya shughuli nzima uniPM kunijulisha Paxman alilionaje na matokeo yalikuaje. salamu zangu spesho kwa master wangu YM, popote alipo habiby wangu. ujumbe kula polepole, ukila kwa pupa utapaliwa! salamu nyingi za leo kwa mashosti wa humu ndani wa ukwee nikianza na kungwi wangu kongosho-ujumbe jinoe vema kungwi nakutegemea! sweetlady-ucheshi wako na mpango mzima wa kuweka ma-like bila hiyana ndio umenifanya nikujue haraka, mwali, zinduna, queenkami, smile, firstlady1, mwanajamii1, cute, preta, cantalisia, kipipi na wengine wote, ujumbe huwa wanasema wakina dada hatupendani, ila mi nimeproove wrong kwa wadada wa jf! nawapendaje sasa??!