Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hahahaha sweetlady hapo nilipobakiza nahitaji ufafanuzi zaidi......Salamu za upendo ziwafikie hawa wafuatao;
1. klorokwini - my asali wa moyo
5. Asprin - babu mpenda wajukuu
6. Bishanga - shemeji angu kipenzi ila pia ni mwizi wa wake za watu
16. nitonye - ???????
17 Vin Diesel - mume mtarajiwa- klorokwini akija atafafanua zaidi!
Kwanza huyo klorokwini sielewii kabsaaaaa
Pili nitonye imekuwaje?
Tatu Van Diesel Mume mtarajiwa kwa nani? Na Kloro je?
Mwisho kama ningekuwa Bishanga au Asprin ningeandaa maandamano ya hiari kupinga kauli yako....lol
Last edited by a moderator: