Mods anzisheni jukwaa la salamu

Mods anzisheni jukwaa la salamu

salamu ziwafikie wanachit chat popote walipo. Ujumbe. Jf haina mpinzanzi. . . . .
 
msolid1990 anamiss upendo, ameanza na PM, sasa kahamia kwenye salamu! salamu zangu nyingi zikufikie Msolid1990!
 
Na mimi ngoja nirudi tena nawatumia salamu zangu wanajf,mmu na jukwaa la siasa bila kumsahau tangopori akiwa bado anaitumikia bann. UJUMBE. Namshauri tangopori akirudi azingatie sheria na kanuni za jf. Binafsi nimemmiss sana.
 
salam zangu kwa rafiki Lizzy popote alipo namwambia nitakuja kuchukua maharage ngoja mvua zipungue huku tope sana, salam za pili kwa mwanangu charminglady na salam kwa mkwe wangu sobhuza, nawapenda sana wanangu!
 
Last edited by a moderator:
Salamu zaangu ziwafikie wale wote wanaoreply kwa very long quote. Mtangazaji waambie wengine huwa tunachoka kusoma.
.
"LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
napenda kutuma salamu kwa Rutashubanyuma, Kongosho Asprin Riwa Erickb52 Katavi Judgement Mbu klorokwini TANMO Teamo ndetichia Erotica charminglady junior.cux Lizzy Bishanga Smile na wana mmu pamoja na chitchat yote, bila kusahau jukwaa wa watu wazima


ujumbe tukumbukane kupitia jf...
Pia napenda kutum salamu zangu za upendeleo kwa Amyner Cantalisia Kabakabana beibe nasty charminglady BAGAH sweetlady EMT TANMO cacico Kipipi Boflo Nicas Mtei Remmy klorokwini Kaizer Rejao
Dah na wengine wote bila kuwasahau Mods walioko mtamboni na Kaunga Yummy YNNAH
 
Last edited by a moderator:
Jukwaa la Salamu limeanzia kwenye huu uzi.
Napenda kutuma salamu kwa Kadakabekile anayetumikia bann ya mwezi 1.pamoja na Basluma original bila kusahau wanachit chat mnaotumikia Jf kwa umakini na kufuata kanuni.
Mungu awajalie ili mpate mawazo mengi.
 
Back
Top Bottom