Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 884
Ngoja nisijibu.
Last edited by a moderator:
hasa mie nifanyeje hali hali ni mbaya? Think loya think! ngoja na mie nikathink upya.
tunakubaliana moja lkn. katiba mpya inatakiwa amendments lazima wale wa kando wawepo
wakiwakilishwa na sweetlady na Ndahani! loya andaa katiba tafwazali. teh teh
asikose Kongosho na babu Asprin ku seal. lemme think kwanza mengine.
Teamo, Bigirita, fidel08, GY, Kaizer, Asprin, The Finest, Maskini Jeuri Kimey tukutane pale pale pa kawaida...
Napenda kuwachezea kibao cha responsibly
Wafuatao wanasalimiwa na ODM akiwa kitandani bila kuzingatia itifaki... AshaDii. RussianRoulette, sweetlady, MwanajamiiOne, Cantalisia, @Zion Daughter, bht, Preta, Blaki Womani, Kongosho asali ya ODM, King'asti, FirstLady1, Amyner, mkwe Fixed Point, agemate Mamndenyi, Mwalimu Gaijin Kabakabana, Mdaiwa wangu sugu Prishaz Lily Flower na nani tena ooh doh huyu sio wa kumsahau, mzaa chema wangu gfsonwin.... Ujumbe: Karibuni kaunta ya juu...
Midume mtanisamehe sana. Hapa anasalimiwa tabibu mwenzangu klorokwini peke yake... Ujumbe: Ongeza juhudi, wodi imefurika huku.
Samahani eti leo ni jumangapi?
Baada ya kusema hayo natangaza rasmi.... SRED KLOZD..:iamwithstupid:
Hivi mwalimu wangu Gaijin, ni nini tofauti kati ya hesabu na hisabati?:crazy:Asprin
Hahaha weee kaa tu, kuna siku utaambia leo ndo ile siku ya hesabu, wewe unauliza jumaa ngapi!
Ni kweli RR vitanda havina dhambi ila dhambi inatokeamo kwenye vitanda vyenye magodoro....:ranger:
Vitanda havina dhambi zozote! Asprin
Hahaha we Kongosho asali ya ODM hujasoma maandiko kuwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza? Basi ukialikwa kwenye harusi usiketi katika kiti cha mbele.... Godoro ntabadili ila sitakikaza kitanda ili majirani wasikiemo kinavyolia wajuemo kinachoendeleamo.:crazy:Babu Asprin sikubali, yaani mie umeniweka wa mbali hivyo pamoja na kuwa Asali wako?
Naandamana kwa kweli.
Afu badilisha lile godoro, limekuwa ulimi sana.
Mungu wangu baba wa mbinguni naomba uwasamehe watumishi wako Erotica na RR dhambi zao zote walizotenda hapa duniani na vitandani, tangu walipozaliwa mpaka watakapo RIP. Kwakuwa mwenyewe unaona jinsi walivyomwaga haya mayuziful posts hapa chini.
Wafuatao wanasalimiwa na ODM akiwa kitandani bila kuzingatia itifaki... AshaDii. RussianRoulette, sweetlady, MwanajamiiOne, Cantalisia, @Zion Daughter, bht, Preta, Blaki Womani, Kongosho asali ya ODM, King'asti, FirstLady1, Amyner, mkwe Fixed Point, agemate Mamndenyi, Mwalimu Gaijin Kabakabana, Mdaiwa wangu sugu Prishaz Lily Flower na nani tena ooh doh huyu sio wa kumsahau, mzaa chema wangu gfsonwin.... Ujumbe: Karibuni kaunta ya juu...
Midume mtanisamehe sana. Hapa anasalimiwa tabibu mwenzangu klorokwini peke yake... Ujumbe: Ongeza juhudi, wodi imefurika huku.
Samahani eti leo ni jumangapi?
Baada ya kusema hayo natangaza rasmi.... SRED KLOZD..:iamwithstupid:
Usijali mzee mwenzangu Mwalimu,Mzee Mwenzangu Aspirin,
Hizi salamu za kutokea kitandani zimenitisha...kulikoni?
Ila mwaliko wa counter ya juu umefika...mwambie mhudumu aniwekee ndovu baridi 2 tafadhali!
Hahahaha Blaki Womani, huyu Mwalimu panamhusu sana kwa Mromboo huyu.... tukishapiga makitu tunahamia RIP au Picnic then..... Kamata Raum tupa kule, chukua RAV 4 weka hapa.... kamata jirani tupa kule chukua binamu weka hapa.... kamata glasi, kesto laiti na tusker malt mimina kwa wingi hapa....... afu Vruuuuuuuuuum.... dadadadadadadeki!

Kesho kamata loku fungua hapa....manina unusu!
Bila kusahau: Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika
Madai gani nimedai we Lily Flower?Asante kwa salamu Babu Asprin, hayo mambo ya madai yametokea wapi tena khaa!
Hahaha na mapafu kwa wingiiiiiiiihahahahahah Mwalimu lazima achanganyikiwe kabla ya kupiga kwa mchuzi wa utumbo..... raha tupu ama kweli siku hazigandi
Madai gani nimedai we Lily Flower?
Asprin saa tatu na dakiki 02 uko kitandani unafanya nini Babu?Mungu wangu baba wa mbinguni naomba uwasamehe watumishi wako Erotica na RR dhambi zao zote walizotenda hapa duniani na vitandani, tangu walipozaliwa mpaka watakapo RIP. Kwakuwa mwenyewe unaona jinsi walivyomwaga haya mayuziful posts hapa chini.
Wafuatao wanasalimiwa na ODM akiwa kitandani bila kuzingatia itifaki... AshaDii. RussianRoulette, sweetlady, MwanajamiiOne, Cantalisia, @Zion Daughter, bht, Preta, Blaki Womani, Kongosho asali ya ODM, King'asti, FirstLady1, Amyner, mkwe Fixed Point, agemate Mamndenyi, Mwalimu Gaijin Kabakabana, Mdaiwa wangu sugu Prishaz Lily Flower na nani tena ooh doh huyu sio wa kumsahau, mzaa chema wangu gfsonwin.... Ujumbe: Karibuni kaunta ya juu...
Midume mtanisamehe sana. Hapa anasalimiwa tabibu mwenzangu klorokwini peke yake... Ujumbe: Ongeza juhudi, wodi imefurika huku.
Samahani eti leo ni jumangapi?
Baada ya kusema hayo natangaza rasmi.... SRED KLOZD..:iamwithstupid:
Niko hapa nakusubiri mpaka kieleweke.. Na ole wako kisieleweke ntakubadili jinsia wallah...Kuna sun gogos nilivaa ngoja nivue then nirejee post yako ya salaam Asprin
Kitanda si ndo makao makuu ya wazee bibie FirstLady1 ? Si maini tu, hata kikojoleo chake hakipunguzi kasi ya kumwaga mkojo.Asprin saa tatu na dakiki 02 uko kitandani unafanya nini Babu?
Babu eti Ng'ombe hazeeki maini?