Mods anzisheni jukwaa la salamu

Mods anzisheni jukwaa la salamu

Barr-abara kabisa salamu za alasiri ziwafikie wafuatao: mkongwe Msolid1990, Mwali, Kongosho, Erickb52, AshaDii, Kaunga, BADILI TABIA, Lizzy, kiranja tamNO na Erotica popooote pale walipo.

Napenda pia kutuma salamu za dhati kabisa kwa Rejao na mwandani wake Cantalisia, Boflo, Nicas Mtei, Yummy, sweetlady, charminglady, Ndahani, FirstLady1, Dark City, Preta, Smile, Kabakabana na Zinduna poopte pale walipo.

Pia salamu za pkee ziwafikie klorokwini na fellow tablet wake Asprin bila kumsahau daktari MziziMkavu wote wakiwa kituo kidogo cha afya Edaru.

Mwisho kabisa bila kuwasahau wana Chitchat woooooote na Mamod Paw, Cookie, RussianRoulette.

Ujumbe ni kwamba JF ndio nusu ya kuonana.



LIKE... LIKE... LIKE. mwaaaaaah! EMT. ujumbe u ar kokastic. only I and Kaunga can prov that!
 
Last edited by a moderator:
Napenda kutuma salamu kwa
my open marriage hubby wangu klorokwini. ujumbe, rudi nyumbani nimechoka cyber sex. mwaaaaaah.

kwa one night stands ndotoni ama 101 Taz, EMT, The Boss, Kaizer Rejao, TIMING, fazaa, wengine hawatajiki. ujumbe, nimeacha sex rasmi.

kwa wapenzi wangu wa dhati Kaunga, Paxman, Ndahani, roho yangu haitaacha kudunda kwenu.

kwa mashostito cacico, gfsonwin, Preta, Smile, Mwali, lemonade, BADILI TABIA ujumbe, mwenzenu ndio naolewa hivo.

Matroni wangu queenkami, ujumbe nipo kusoma bibilia kama ulivoagiza.

kwa Invisible robot. ujumbe hilo chata la upremium naomba wote uwatolee uliowawekea nibaki nalo mimi tu.

adui yangu mkubwa FirstLady1 kwa kunipeperushia. ujumbe ukitaka nikusamehe uwe kungwi wangu.

babu zangu vipenzi Dark City na Asprin. ujumbe babu Asp nimemiss ukaguzi wako yakinifu.

kwa anidundishae moyo na kunifanya niumwe. ananichanganya hadi nimesahau jina lake. ngoja nikumbuke....... ujumbe sikupendi sababu nakupenda!
 
Last edited by a moderator:
kweli JF imepinda, LOL

Salaam za pekee zimwendee yeyote mwenye kiu ya matango na ndizi, popote pale alipo... Ujumbe, nawalia timing tu!! timing.jpg
 
Nami zazipokea salam zako kwa dhati kabisa na kukupongeza kwa kupewa chata la premium member. Lol...........naomba nijipendekeze nije nikufunde ndani wakati wa kusubiria harusi na pia siku ukiwa mjamzito nikufunde "kikoa" nafikir hapa Zinduna atanisaidia. ukikubali ni pm nikuandikie vifaa vya kununua kwa ajili ya kazi iyo.

mwambie somo wako Mwali hilo kwani ndo atakuwa mleta habari kwetu, na siku ya mahari yako basi Asprin, Mbu EMT Darkcity ndio wapokee.
AshaDii MwanajamiiOne@firstlady hawa watakuwa ndio mama zako, wakati Preta, Kongosho@smile na shostito Kipipi hawa watakuwa wacheza show wako.
Ambitious MziziMkavu Mwanamtokapabaya Bishangahawa watakuwa wazee wenyewe yaani wakwe zako wa kiume so uwaheshimu sana sana hawa.

mama mkwe ni nani vile Lizzy, @roussianroullete@ hawa ni noma manake hawabebeki lol.................. jitahd sana juu yao hawa manake ni gunia la misumari hawabebeki hawa.

mawifi zako ni Kaunga charminglady Cantalisia hawa na wenyewe ni debe lenye makaa ya moto lol.......... sijui utafanyeje.
Mr Rocky atakuwa MC, boss EMT na Ndahani hawa ndo ma DJ wetu wa siku hiyo.

msasambuaji atakuwa Kongosho. wengine watakuwa wageni waalikwa tu kama akina Paw etc
 
Last edited by a moderator:
You share bed now?

Ha..ha..ha we share a flat each one on his/her respective and room and bed.But that can be arranged mkuu EMT huku home baridi imeanza 🙂
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa hapa siri lanka napenda kutuma salam kwa wafuatao,
Husninyo akiwa hapa pembeni yangu
sweetlady , kamchumba kangu ambako hata bila kufanya diet kanakonda

Preta na hazbendi wake mtu chake wakiwa safarini kuelekea indonezia
fellow tablet Asprin , mzee pekee Tanzania ambae anakaba jinzi bila belti

Erickb52 , selebriti la chit chat

Kongosho
, huyu sifa yake inaeleweka
Erotica , my open marriage waifu
Deskmate Mwali , mtalaka wa ivuga

Saint Ivuga
, akiwa brazil kwenye biashara zake za jani

BADILI TABIA , ingawa hakubadili tabia kabadili avatar

FirstLady1 , na genge lake la mama ntilie uwanja wa fisi
Ticha Gaijin , ambae pia ni muimbaji wa oldi iz goldi .
EMT , mwandikaji wa makala ambae ana uwezo wa kuongea lugha nane bila kukosea spelling.

Zitaendelea part 2
Hahahaa klorokwini umenichesha na vijembe vyako lol eti mtu nakonda bila hata kadiet hahahaa asali wako wa moyo sweetlady kazi anayo...lol
msalimie Husny...
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa hapa siri lanka napenda kutuma salam kwa wafuatao,
Husninyo akiwa hapa pembeni yangu
sweetlady , kamchumba kangu ambako hata bila kufanya diet kanakonda

Preta na hazbendi wake mtu chake wakiwa safarini kuelekea indonezia
fellow tablet Asprin , mzee pekee Tanzania ambae anakaba jinzi bila belti

Erickb52 , selebriti la chit chat

Kongosho
, huyu sifa yake inaeleweka
Erotica , my open marriage waifu
Deskmate Mwali , mtalaka wa ivuga

Saint Ivuga
, akiwa brazil kwenye biashara zake za jani

BADILI TABIA , ingawa hakubadili tabia kabadili avatar

FirstLady1 , na genge lake la mama ntilie uwanja wa fisi
Ticha Gaijin , ambae pia ni muimbaji wa oldi iz goldi .
EMT , mwandikaji wa makala ambae ana uwezo wa kuongea lugha nane bila kukosea spelling.

Zitaendelea part 2

haha klorokwini

nashukuru kwa salam zako sasa nataka nitume thread changia FL1 angalau na mie maisha yawe bora siku moja mkiweka hapo 1000@ memba 30,000 jamani si mmeokoa jahazi na mtapata thawabu..:A S cry:
Nimechoka kila siku kukimbizana na wateja wanaondoka bila kunilipa,supu na chakula wanachokula
wale wanaokula kwa bili mwisho wa mwezi siwaoni..
Faida yenyewe ndogo napiga hatua tano mbele narudi hatua mia mbili nyuma
yaani mie jamani.. AshaDii nakumiss na nakutumia salama za upendo. Nyamayao missing you very bad bht your my bestlady Pearl love u sisy Erotica.. nasubiri 30 itimie niwe kungwi Ndahani ..(......)ukipenda boga penda na ua lake..amen RR ...please don't be like that.. Fidel80..Mambo ya kanga moko inabidi ustaafu Dena Amsi ulipo jitokeze .... EMT ..salam ni nusu ya kuonana Kabakabana...u mean a lot to me.
 
Last edited by a moderator:
Nami zazipokea salam zako kwa dhati kabisa na kukupongeza kwa kupewa chata la premium member. Lol...........naomba nijipendekeze nije nikufunde ndani wakati wa kusubiria harusi na pia siku ukiwa mjamzito nikufunde "kikoa" nafikir hapa Zinduna atanisaidia. ukikubali ni pm nikuandikie vifaa vya kununua kwa ajili ya kazi iyo.

mwambie somo wako Mwali hilo kwani ndo atakuwa mleta habari kwetu, na siku ya mahari yako basi Asprin, Mbu EMT Darkcity ndio wapokee.
AshaDii MwanajamiiOne@firstlady hawa watakuwa ndio mama zako, wakati Preta, Kongosho@smile na shostito Kipipi hawa watakuwa wacheza show wako.
Ambitious MziziMkavu Mwanamtokapabaya Bishangahawa watakuwa wazee wenyewe yaani wakwe zako wa kiume so uwaheshimu sana sana hawa.

mama mkwe ni nani vile Lizzy, @roussianroullete@ hawa ni noma manake hawabebeki lol.................. jitahd sana juu yao hawa manake ni gunia la misumari hawabebeki hawa.

mawifi zako ni Kaunga charminglady Cantalisia hawa na wenyewe ni debe lenye makaa ya moto lol.......... sijui utafanyeje.
Mr Rocky atakuwa MC, boss EMT na Ndahani hawa ndo ma DJ wetu wa siku hiyo.

msasambuaji atakuwa Kongosho. wengine watakuwa wageni waalikwa tu kama akina Paw etc

gfsonwin,
Itabidi nijifunze kuwa MC maana title kama hiyo kwa weekend inalipa kweli
 
.

Matroni wangu queenkami, ujumbe nipo kusoma bibilia kama ulivoagiza.


Asante kwa salamu mke mwema to be.
Erotica Hizi ni picha za mzigo niliokutumia kwa DHL.
Ukiupata tafadhali nijulishe kama umezipenda.
real_men_use_a_king_james_version_bible_tshirt-p235405396505132764trlf_4001-300x300.jpg


Haka ka bible hapo chini hata kwenye clutch purse kanaingia ushindwe tu wewe.
634989437368.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom