klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Loya ni faifu star, sasa kuna wengine wanaomba appointment wakati wamevaa skin taiti imetoboka mapajani! au wengine wanakuja na raba za shambani ofisini kwa loya. nyambaaf!kuna watu wameomba appointment kwako unawarusha, wana kompleni. hasa mie nifanyeje?