Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,542
- Thread starter
- #41
Safi.Hapana !
Una hakika hili jibu ni lako na unajua kuwa bila VPN JF haipatikani bongo!
Safi.Hapana !
Hawajazui ila hawataki matumizi mabayaMnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?
Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
Hilo zezeta linatumia VPN kuingia JF likitumia server ya Ufaransa.Kwa hiyo yuko Ufaransa au😁😁
Lini nimewahi tangaza kuunga mkono CCM? Mimi Naunga mkono SamiaUjinga wangu uko wapi?
Umetumia njia gani kuingia jf?
Copy kwa:
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Lucas Mwashambwa
Matumizi "mabaya" ni kama yapi chawa ?Hawajazui ila hawataki matumizi mabaya
Sifa ya moja ya mtu kuwa chawa ni kusitisha/kusitishiwa matumizi ya akili.Huyo ni zaidi ya zezeta anafikiri watu hawaoni profile yake inasomaje
Umeelewa mada lakini? Au umeikuta kazi mezani ukaibuka nayo!Hawajazui ila hawataki matumizi mabaya
Serikali ya Samia ndio imefungia vyombo vya habari kama jamiiforums.com, na wewe ni mdau mkubwa sana kwa kumsemea raisi wako humu.Lini nimewahi tangaza kuunga mkono CCM? Mimi Naunga mkono Samia
Lakini imefungulia vyombo vingi sanaSerikali ya Samia ndio imefungia vyombo vya habari kama jamiiforums.com, na wewe ni mdau mkubwa sana kwa kumsemea raisi wako humu.
Je, unatumia njia gani kuingia jf?
Sasa wewe upo kwenye hivyo vyombo vingi au umo hapa JF?Lakini imefungulia vyombo vingi sana
Swali liko wapi hapo? Mkipewa mwanya mnahamasisha vurugu...Mkome !Ujinga wangu uko wapi?
Umetumia njia gani kuingia jf?
Copy kwa:
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Lucas Mwashambwa
Situmii VPN , nikupe ushahidi gani na hapa natumia PCSafi.
Una hakika hili jibu ni lako na unajua kuwa bila VPN JF haipatikani bongo!
Upo bongo..?Situmii VPN , nikupe ushahidi gani na hapa natumia PC
Niko Tanga hapa MkwakwaniUpo bongo..?
Ila natumia pc so sijajua , upande wa simu situmii kabisa mitandao ...Inakuwa nimerudi home usiku, mida hii natelekza na WI-FI so sijajua inakuwaje hapoUpo bongo..?
Unatumia mtandao wa Kenya? Maana Tanzania JF imefungiwa!!Niko Tanga hapa Mkwakwani
Naumia WIFI so sijui ikoje ..Ila mimi kwenye simu yangu binafsi sina VPN ..Unatumia mtandao wa Kenya? Maana Tanzania JF imefungiwa!!
PC inafanya mtandao uliofungiwa na TCRA ufunguke!?Ila natumia pc so sijajua , upande wa simu situmii kabisa mitandao ...Inakuwa nimerudi home usiku, mida hii natelekza na WI-FI so sijajua inakuwaje hapo