Community Journalism anguko la wahafidhina wa CCM

Community Journalism anguko la wahafidhina wa CCM

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,821
Reaction score
50,482
CCM inatumia kila njia kuua uandishi asilia (conventional journalism) ili isikosolewe hadharani na habari mbaya kuwahusu zisiwafikie watanzania.

Na CCM kwa upotofu wao hutumia mfano wa China kama kielezo cha kwa nini wao wanaminya uhuru wa watu kupata taarifa.

CCM hupenda kutumia msemo nusu wa "uhuru bila mipaka ni vurugu" bila ya kukamilisha nusu nyingine ya msemo huo kuwa "mipaka kwenye uhuru ni udikteta"

China hawajazuia watu wao kutoa maoni na wala hawazuii vyombo vya habari kutoa taarifa za mafisadi na ufisadi.

Sasa kumekuwa na uandishi wa kijamii (community Journalism) uandishi ambao CCM wameshindwa kuuzuia.

Wakati wahafidhina ndani ya CCM wamefanikiwa kivinyamazisha vyombo vikuu vya habari, (mainstream media)uandishi wa habari wa kijamii umewapiga daflao CCM.

CCM wapo nyuma ya wakati kila wakati.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
CCM inatumia kila njia kuua uandishi asilia (conventional journalism) ili isikosolewe hadharani na habari mbaya kuwahusu zisiwafikie watanzania.

Na CCM kwa upotofu wao hutumia mfano wa China kama kielezo cha kwa nini wao wanaminya uhuru wa watu kupata taarifa.

CCM hupenda kutumia msemo nusu wa "uhuru bila mipaka ni vurugu" bila ya kukamilisha nusu nyingine ya msemo huo kuwa "mipaka kwenye uhuru ni udikteta"

China hawajazuia watu wao kutoa maoni na wala hawazuii vyombo vya habari kutoa taarifa za mafisadi na ufisadi.

Sasa kumekuwa na uandishi wa kijamii (community Journalism) uandishi ambao CCM wameshindwa kuuzuia.

Wakati wahafidhina ndani ya CCM wamefanikiwa kivinyamazisha vyombo vikuu vya habari, (mainstream media)uandishi wa habari wa kijamii umewapiga daflao CCM.

CCM wapo nyuma ya wakati kila wakati.
Gentleman,
huu upotoshaji ni mwepesi mno na hauna athari zozote zile kisiasa, kijamii au kiuchumi nchini.

in fact,
this may be one of the most ridiculous posts of the day. :NoGodNo:
 
Hawana... Kama watu wenyewe ndiyo hawa kina Tlaatlaah basi CCM kwisha habari yake.
huo ushirikina wa sijui mvuto au vinginevyo nadhani muendelee nao ninyi kwa nyinyi gentleman na itapendeza zaidi.

kama taifa,
tunasonga mbele kwa umoja bila kubabaika na porojo useless kama hizo :NoGodNo:
 
Kumbe wewe hujui... Umoja wa watanzania (watanganyika?) ni dhidi ya CCM.

Kama mtu anaiunga mkono CCM basi ajue yeye hayupo kwenye Umoja na watanzania.
hakuna kitu kingine useless katika umoja wa waTanzania wote gentleman,

kwasababu 99.9% tumezaliwa Tanzania na hakuna kitu kingine nonsense tunaweza kubabaika nacho zaidi ya Tanzania 🐒
 
CCM inatumia kila njia kuua uandishi asilia (conventional journalism) ili isikosolewe hadharani na habari mbaya kuwahusu zisiwafikie watanzania.

Na CCM kwa upotofu wao hutumia mfano wa China kama kielezo cha kwa nini wao wanaminya uhuru wa watu kupata taarifa.

CCM hupenda kutumia msemo nusu wa "uhuru bila mipaka ni vurugu" bila ya kukamilisha nusu nyingine ya msemo huo kuwa "mipaka kwenye uhuru ni udikteta"

China hawajazuia watu wao kutoa maoni na wala hawazuii vyombo vya habari kutoa taarifa za mafisadi na ufisadi.

Sasa kumekuwa na uandishi wa kijamii (community Journalism) uandishi ambao CCM wameshindwa kuuzuia.

Wakati wahafidhina ndani ya CCM wamefanikiwa kivinyamazisha vyombo vikuu vya habari, (mainstream media)uandishi wa habari wa kijamii umewapiga daflao CCM.

CCM wapo nyuma ya wakati kila wakati.
Ndugu Allen Kilewella, nimesoma kwa kina hoja yako kuhusu jinsi chama tawala kinavyopambana kudhibiti uandishi wa habari nchini Tanzania na naunga mkono uchambuzi wako kwa asilimia mia moja katika maeneo mengi ya msingi. Ni kweli kabisa kuwa sheria kandamizi zimetumika kuminya vyombo vikuu vya habari na kuvilazimisha kuingia kwenye mtego wa kujikagua vyenyewe ili kujilinda kibeberu na kisheria. Hali kadhalika, ufafanuzi wako kuhusu matumizi ya nusu msemo wa uhuru bila mipaka ni vurugu uko sahihi kisiasa kwani mamlaka huficha makusudi ukweli wa upande wa pili kuwa mipaka inayokandamiza uhuru kimsingi ni mwanzo wa udikteta. Hakika uandishi wa kijamii kupitia majukwaa kama hili la JamiiForums na mitandao mingine umewapiga chenga wahafidhina kwa sababu teknolojia imesambaza nguvu ya kutoa habari mikononi mwa raia wa kawaida, jambo linalofanya iwe vigumu kwa mfumo wowote kudhibiti kila sauti kwa wakati mmoja.
Hata hivyo, kuna eneo moja la kimuktadha ambalo lina matatizo makubwa na linahitaji marekebisho ya haraka ili kulinda uzito wa hoja yako, nalo ni hali halisi ya uhuru wa habari nchini China. Tofauti na nchi za kidemokrasia, China haina sheria kabisa ya kulinda watoa taarifa za siri yaani whistleblowers, na mtu yeyote anayefichua ubadhirifu bila kibali cha Chama cha Kikomunisti huchukuliwa kama adui na msaliti. Mfumo wao wa habari unamilikiwa na kudhibitiwa kikamilifu na serikali, na fichuzi zote unazoziona zikitangazwa huwa ni zile tu zilizoidhinishwa na idara ya propaganda ili kuwaondoa wapinzani wa kisiasa au kutuma ujumbe maalumu kwa umma.
Ushahidi wa ukweli huu unajidhihirisha kupitia waandishi wengi wa habari za kiuchunguzi na kijamii ambao hivi sasa wanasota gerezani au wamekimbilia uhamishoni baada ya kujaribu kufichua ubadhirifu bila ruhusa ya chama. Kwa mfano, waandishi wa kujitegemea Liu Hu na Wu Yingjiao walikamatwa na kutupwa gerezani mara baada ya kuchapisha ripoti mtandaoni iliyofichua ufisadi mkubwa wa Katibu wa Chama wa Wilaya ya Pujiang. Vivyo hivyo, mwandishi wa kijamii Zhang Zhan alihukumiwa miaka minne jela kwa kosa la kurusha video mubashara zilizofichua ubadhirifu na jinsi mamlaka zilivyoficha ukweli wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa Wuhan. Hata ofisa wa ndani wa chama kama Huang Jingao, ambaye aliamua kuandika barua ya wazi mtandaoni kufichua mtandao wa ubadhirifu wa fedha za umma uliolindwa na wakubwa wake, aligeuziwa kesi na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela badala ya kulindwa.
Kutokana na shinikizo hili la kiimla, waandishi nguli wengi wamelazimika kuikimbia nchi ili kuokoa maisha yao na kuendeleza mapambano wakiwa uhamishoni. Mwandishi maarufu wa kiuchunguzi wa televisheni ya taifa ya China Wang Zhi'an alikimbilia nchini Japan ambako sasa analazimika kutumia mtandao wa YouTube kufichua mambo yaliyopigwa marufuku nyumbani kwao. Baada ya China kuweka sheria kandamizi ya Usalama wa Taifa huko Hong Kong na kufunga kwa nguvu vyombo huru kama Apple Daily, waandishi na wachambuzi wakongwe kama Chung Kim-wah na Victor Ho Leung-mau walikimbilia Uingereza na Canada kupata hifadhi, na hivi sasa serikali ya China imewaweka kwenye orodha ya watu wanaosakwa kimataifa. Hata kundi la waandishi waliounda jukwaa la Pulse HK wanalazimika kufanya kazi hiyo kwa siri kubwa wakiwa uhamishoni ili kulinda familia zao zilizobaki ndani ya China wasidhuriwe na serikali.
Tunapaswa kuelewa kuwa wanachama wahafidhina wa CCM wanapotumia mfano wa China, hawatafuti ustawi wa habari za kijamii bali wanatamani kugeuza Tanzania kuwa nchi inayomiliki na kudhibiti kila fikra ya mwananchi kabla haijamfikia. Lakini kama ulivyosema kwa usahihi, mabadiliko ya kiteknolojia na uandishi wa kijamii umewaacha nyuma ya wakati kwa sababu nguvu ya kalamu ya raia kupitia mifumo ya kidijitali imevunja ukuta wa ukiritimba wa habari. Mapambano yetu ya sasa sio kuzuia habari isitoke, bali ni jinsi raia wanavyoweza kulindwa kisheria dhidi ya mbinu mbadala za serikali kama sheria za makosa ya mtandao na kodi za maudhui ya kidijitali. Hoja yako ni nzito sana, na marekebisho haya ya muktadha wa China yanaongeza silaha thabiti za ukweli kwenye mjadala huu muhimu.
 
Kwa ivo kama tumezaliwa Tanzania ndiyo tuwe mazombie huku CCM ikiendelea kubagaza nchi yetu?
Yes,
umezaliwa Tanzania una wajibu wa kuitetea Tanzania kwa wivu mkubwa, na kabisa huna haja wala sababu hata moja ya kubabaika au kupoteza wakati dhidi ya unknown nonsense zingine 🐒
 
Yes,
umezaliwa Tanzania una wajibu wa kuitetea Tanzania kwa wivu mkubwa, na kabisa huna haja wala sababu hata moja ya kubabaika...
Huwezi kuitetea Tanzania bila ya kuikataa CCM... Ukiona upo upande wa CCM jua wewe huitetei Tanzania bali unaibagaza.
 
Mapambano yetu ya sasa sio kuzuia habari isitoke, bali ni jinsi raia wanavyoweza kulindwa kisheria dhidi ya mbinu mbadala za serikali kama sheria za makosa ya mtandao na kodi za maudhui ya kidijitali.
Nashukuru Kwa andiko lako hili lililosheheni hoja nzuri na nzito.

Ama kwa hicho nichonukuu, nakubaliana na wewe kabisa. Siku hizi mijadala dhidi ya watawala utaona inajazwa tahadhari nyingi sana kuhusu usalama wa wachangiaji walio kinyume na watawala.

Ni LAZIMA jamii ipambane kuupata uhuru wao wa kutoa maoni na kupata taarifa uliopokwa na kuhodhiwa na watawala.
 
Yes,
umezaliwa Tanzania una wajibu wa kuitetea Tanzania kwa wivu mkubwa, na kabisa huna haja wala sababu hata moja ya kubabaika au kupoteza wakati dhidi ya unknown nonsense zingine 🐒
Allen yuko sahihi kabisa Huwezi kuitetea nchi "blindly" (bila kuhoji wala kutafakari) kwani kufanya hivyo ni kukubali kuwa kama zombie. Uzalendo wa kweli siyo kushabikia kila kitu kinachofanywa na mfumo au chama tawala, bali ni kuwa na ujasiri wa kusimama na kukosoa pale rasilimali za taifa zinapobagazwa. Nchi yetu haitaenda mbele kwa kuwa na raia wanaofumba macho huku ripoti za kila mwaka za CAG zikionyesha ubadhirifu wa kutisha kwenye sekta ya ujenzi kupitia makadirio mabovu ya gharama za miradi mikubwa, pamoja na upotevu wa mabilioni ya fedha na mikopo isiyowafikia walengwa kwenye halmashauri zetu. Kulinda nchi kunahitaji akili timamu, macho yaliyo wazi, na wevu wa kuzuia wizi wa mali za umma, siyo kulala usingizi na kuwa mtazamaji wakati nchi inafanywa shamba la bibi.

kwamba unamuhoji baba na mama yako kua mlikutana wapi ndio mimi nikazaliwa, right?🐒
 
Gentleman,
huu upotoshaji ni mwepesi mno na hauna athari zozote zile kisiasa, kijamii au kiuchumi nchini.

in fact,
this may be one of the most ridiculous posts of the day. :NoGodNo:
Mashoga na mapumbavu ya ccm hayana nafasi yoyote kwenye hii Dunia
 
Yes,
umezaliwa Tanzania una wajibu wa kuitetea Tanzania kwa wivu mkubwa, na kabisa huna haja wala sababu hata moja ya kubabaika au kupoteza wakati dhidi ya unknown nonsense zingine 🐒
Mashoga na mapumbavu ya ccm hayana nafasi yoyote kwenye hii Dunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom