Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,318
- 25,111
Wewe mdomo wako hauna tofauti kubwa na wa punda!Ulizaneni kwanza Kwanini CHADEMA na wafuasi wake mmejaa matusi midomoni mwenu utafikiri vichaa au wendawazimu
Wewe mdomo wako hauna tofauti kubwa na wa punda!Ulizaneni kwanza Kwanini CHADEMA na wafuasi wake mmejaa matusi midomoni mwenu utafikiri vichaa au wendawazimu
Unatumia VPN kaka?Kama nyie mnajua demokrasia , kwa nn mnaponda wengine kama vile hawastahili . Mpumbavu endelea kuamini kwamba mawazo yako ni bora kuliko wengine .
We dada jibu swaliKama nyie mnajua demokrasia , kwa nn mnaponda wengine kama vile hawastahili . Mpumbavu endelea kuamini kwamba mawazo yako ni bora kuliko wengine .
Nafikiri ungewataja specifically wakaja kutoa majibu hapa maana hii hali ishakuwa kero mno.Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?
Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
Kwa hiyo yuko Ufaransa au😁😁Zezeta la Samuya katika ubora wako.View attachment 3581908
Huyo mjinga ni lazima atakuwa ametoka "ujingani Village". Ni kama Mohamed Issa.JF walikiuka masharti ya regulators wakala ban kama wanavyotufanyia sisi.
Huyo mjinga aliyekwenda kufungua kesi mahakamani naye kazidi kuchafua hali ya hewa.
Ban ilikuwa 90 days, kuna kesi mahakamani regulator anaifunguliaje JF.
Msukule wa kwanza huu hapa!hiyo nonsense ndio nini ndugu mfuata mkumbo?
Hamna swali hapo , kwa unalazimisha mtu achukie unachochukia ...Kuna swali au upoumbavu hapoUnatumia VPN kaka?
Jibu swali kama lilivyoulizwa!!
Swali lipi fala wewe ?We dada jibu swali
Hili jibu umelitoa huku ukiwa umetumia VPN?Hamna swali hapo , kwa unalazimisha mtu achukie unachochukia ...Kuna swali au upoumbavu hapo
Unatumia VPN kutumia jf?Hamna swali hapo , kwa unalazimisha mtu achukie unachochukia ...Kuna swali au upoumbavu hapo
Sijaona hayo matndo , kama yapi au wale vibaka wanaohamasisha uasi wa nchi yaoHili jibu umelitoa huku ukiwa umetumia VPN?
Wewe mjinga swali liko wapi?Unatumia VPN kutumia jf?
Achana na hao wahamasishaji uasi... Wewe kuingia JF umetumia VPN?Sijaona hayo matndo , kama yapi au wale vibaka wanaohamasisha uasi wa nchi yao
Hapana !Achana na hao wahamasishaji uasi... Wewe kuingia JF umetumia VPN?
Ujinga wangu uko wapi?Wewe mjinga swali liko wapi?