Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?

Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
Mpaka Msigwa anatumia VPN
 
Ulizaneni kwanza Kwanini CHADEMA na wafuasi wake mmejaa matusi midomoni mwenu utafikiri vichaa au wendawazimu
20250413_151506.jpg

Huyu ni chadema?
 
Ujinga wangu uko wapi?
Umetumia njia gani kuingia jf?
Copy kwa:
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Lucas Mwashambwa
Gentleman,
jinsi nilivyojiunga JF huru, ndivyo ninanvyotua, ninavuoingia na kutoka JF daily, kadiri nipendavyo,
hiyo nonsense siijui, na wala sijawahi kutumia, sijui ndio nini kwanza.

JF is free platform, and as free nation we all enjoy free network.
 
Back
Top Bottom