PeterwaPerer
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 273
- 309
Askofu huyu amekuwa mstari wa mbele kuonyesha kutofurahishwa na namna CCM na delegates yake inavyoongoza nchi hii akijinasibu kuwa mpenda haki!
Na mimi kama mdau wa haki ninaungana nae mara kwa mara kumuunga mkono kwa maoni na hoja zake!
Kitu ambacho huwa nashindwa kumuelewa ni yeye kujihusisha zaidi na Chadema kama vile wana ajenda fiche
Kumbuka Askofu ni mtu wa dini!
Maelezo ya JJ Mnyika hivi karibuni yamenishtua zaidi hasa hasa alipozungumzia mambo ya kijinsia kama miradi inayoendelea ndani ya Chadema na ina wafadhili kabisa
Pamoja na mambo yote ila suala la kusema " Wanaume Champions" wa jinsia kuwa ni miongoni mwa miradi yao imenichanganya kiasi
Kwa usajili Chadema ni chama cha siasa labda kuna context za kuhudumia jamii ila jinsia kwa "wanaume champions" ni la kutia shaka sana
Kumekuwa na kundi kubwa la wanaharati wenye vinasaba na ushoga, Chadema haijakiri wazi wazi kuwa inashirikiana nao lakini kumekuwa na kutumia harakati zao ndani ya chama hasa kwenye mitandao ya kijamii wakionekana kuiunga mkono Chadema.
Sijui labda watafafanua zaidi hawa "wanaume champions wa jinsia ni watu wa aina gani
Ila kwa Askofu, je hili ni miongoni mwa haki unazozipigania?