majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
mkuu rudia kusoma ulichokiandika kwa umakini,kama unaakili timamu utagundua kitu..
.......sina akili timamu! maana sijagundua chochote kama unavyotaka wewe.
mkuu rudia kusoma ulichokiandika kwa umakini,kama unaakili timamu utagundua kitu..
Mmh... kwani huyo mwanaume hajui afanyalo??Hata mm hua naonywa na kusikia,sikuhukumu ila nakwambia ukwel.Ulitaka nikusifie kutembea na mme wa mtu? Kama sehemu ya jamii naamin kuwa kukueleza ukwel ni jambo jema,mana wanaume ni wengi tu.Pia usi assume kila mtu anauovu wa type yako na ww ukapata tiket ya kudestroy familia ya mtu kisa et jamaa muislam.
Alaaaa....Haahahaaaaaa! Ile ilipata REPORT ABUSE 500, Tukapigwa BAN kuanzia HOST, MGENI, FUNDI MITAMBO, HAT SISIMIZI ALIEKATIZA ULE UZI ALIPIGWA BAN! Hahahaaaaaaaa! Na uzi uadilitiwa PERMENENTLY kwenye saver za MMU! Hahahaaaaa!
Good i hope hata nyumba kubwa ataacha yapite INATOSHA
usijali siku nyingine lazima ualikwe hot girl
Yaani uzi haujaisha? akika Angelika katoa somo
Sijui ni coincidental kuwa wanaume wote wenye michepuko wanafanana tabia...
Nimeshasikia kwa vimada wengi sana story kama za Ange...'huyu mwanaume alikuwa mcharuko mimi nimemtuliza'
'mimi ndio namsisitiza asisahau familia'...'namzuia asilale kwangu'...'huwa naifanyia shopping familia yake' and the like...
Next time muwaite na hawa mababa wenye mipango ya kando watupe nao the other side of the story ili tuweze ku balance...
Kumbe ni Single Ladies and Gentlemen ,ok
KIGEZO CHA KUALIKWA HOT TALK UWE TAYARI KUWEKA ALL CARDS ON THE TABLE!!!!!!!!! Kamamnafiki huqualfy kualikwaaa! Wala hutoalikwaaa! lengo la shoo ni kuwapa watu chansi TO BE THEMSELVES DESPITE UNAFIKI NAFIKI WOTE WA JF!
Swali litakuwepo na litajibiwa HONESTLY nsababu mgeni rasmi lazima AWE HONEST PERSON!
He....sikujua nimepotea njia. Tuchepuke zetu mwanandoa mwenzangu.
Naomba mm usiniweke kwenye mgeni mualikwa tafadhari maana sikuiz cjui hata kuongea ukorof umeisha kwa kifup ntashindwa cha kujibu.....mie wacha nieendelee na kazi yangu ya kukufuta jasho tu
Hahahaa haaaa
Lara1 ss utajuaje km mtu kasema kweli au uongo!
Ukisema we bikra we ni mwongo....ukisema huna boifrendi we ni mwongo. Hahaaa this is Jf bwana
Hahahaa haaaa
Hayo ya kawaida bt wapo mabikira ujue.....
Kuna mengine km kutoka na mme wa.mtu coz wapo ambao kweli they don't. ..ss akisema cjawahi wakat anafanya je?Hahahaa
Ndo unatakiwa useme sasa hata kama hufanyi....yan hata kama huna boifrend sema ninao watatu na mmojawapo ni mume wa mtu. Huo ndo ukweli ukisema vinginevyo we ni mnafiki na unatafuta soko lol