nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
:llama::llama::llama::llama:Mume utampata wapi hapo umezalishwa watoto na bora wangekuwa na baba mmoja hahahahahahahaaaaa, chezea waume za watu.
Bibi la bibi usikate tamaaa mbona Natasha kapata wakumfuta machozi uzeeni, afu nakuomba usitubemendee waume zetu watarajiwa sie wa 20s.