MMU hot talk

MMU hot talk

Hahahahaaaaaaa...hilo la juu wacha nifanye kama sijaona.
Nikweli malipo duniani mahesabu kwa Mungu.

Hahahaaaaaaa! ANASAHAU KUNA 80% OF SINNERS WHO GET AWAY WITH IT BECAUSE THEY ARE JUST LUCKY, KARMA IS TOO KIND TO THEM, LIFE HAS SMILED UPON THEIR FATE.

Niliulizaga humu ndani WHERE IS YOUR HAPPY ENDING KWA WALE WA NGOZI ZA KONDOOOO, WEMA WOTE MWISHO WAO HUWA FREE P TU! Hahahaaaaaaaaaa! Such is LIFE!

LENU HILO TEAM FREE P, MCHAJI HATA KA DEPRECIATION WAJAMNI! LOL!
 
Kawaida mwanamke ni mfuasi wa mwanaume hivyo hana dini maalum, waweza kuwa mke wapili maana hutakuwa na wivu kwa sababu mke mkubwa amekuzoea.

Swali langu: unampenda dhati au hupo naye kwa ajili ya kutimiza haja zako?

Mimi ni mfuasi wakwangu mwenyewe sisukumwi na mtu.

Ndiyo nampenda na tunatimiziana haja zetu sababu namtimizia pia.
 
Unaelewa maana ya kuanzishwa thread iii????? Au unakurupukia sasa ulitaka nidanganye alafu iweje??? Nijifanye mtakatifu wakati sio, hapa kwenyewe wako kibao wanaotembea na waume na wake za watu ila wanajifanya wema.
Afu usiishi kwa kukariri sio kila anayetembea na mume wa MTU ninjaa.

AU Tumuite SINZA KWETU alete zile FILE? Hahahaaaaaaaaaa!
 
Ofcoz tunabadilika kutokana na topic yenyewe na mawazo unayokuwa nayo kwa wakati huo

Hahahaaaaaaaaaaaaa! NA HIKI NDO KIJIWE CHETU, HUU NDO UWANJA WETU WA NYUMBANI, TUACHENI TUJIMWAGE JAMANIIIII, TUJISHEBEDUE KWA CHATI EEEEEEH! SINGLE AND READY TO MINGLEEEEEEEEEEE! Patamu hapoooo! ALL CARDS ON THE TABLE! THE ONLY PLACE YOU CAN CONFESS YOUR CRIMES AND GET AWAY WITH IT! HOW MORE LIVE CAN THIS HOT TALK BE?
miss neddy best idea ever ya hii interview! WAKE ZA WATU NA WASAMARI YOU DONT FIT IN, ANZISHENI KIJIWE CHENU!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
but mkewe sara si ndio alimshauri ibrahimu afanye hivo baada ya kuona miaka imeenda hajapata mtoto???? so sara aliridhia hilo...back to you huyo mkewe ana tatizo lolote na ameridhia????

Ndugu yangu ndoa za watu zina siri nyingi sana.
Mkewe alivyonijua alinishukuru sana sana nimemsaidia kumtuliza mumewe mana alikuwa hashikiki anarudi asubuhi wakati mwingine kulala huko huko.
Kwangu Mimi saa4 kachelewa baba kwa mkeo labda itokee kitu cha muhimu cha kumrudisha saa nane za usiku, sherehe sijui vi nini nenda na mkeo ndio anayesitahili. Nimemtengenezea mazingira ya kuiweka mbele familia yake then ndo nifwatie.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! NA HIKI NDO KIJIWE CHETU, HUU NDO UWANJA WETU WA NYUMBANI, TUACHENI TUJIMWAGE JAMANIIIII, TUJISHEBEDUE KWA CHATI EEEEEEH! SINGLE AND READY TO MINGLEEEEEEEEEEE! Patamu hapoooo! ALL CARDS ON THE TABLE! THE ONLY PLACE YOU CAN CONFESS YOUR CRIMES AND GET AWAY WITH IT! HOW MORE LIVE CAN THIS HOT TALK BE?
miss neddy best idea ever ya hii interview! WAKE ZA WATU NA WASAMARI YOU DONT FIT IN, ANZISHENI KIJIWE CHENU!!!!!!!!!!!

so far wangapi washakuwa interviewed?? angelita na nani??? tuwajue hao 'single and ready to mingle'
 
Okey...kumbe naongea na mtakatifu sikujua nlidhani naongea na mwenye dhambi mwenzangu...but mi nimerefer post yako niliyokuquote.

Rekebisha kauli yako hakuna mtakatifu chini ya jua.
 
Ndugu yangu ndoa za watu zina siri nyingi sana.
Mkewe alivyonijua alinishukuru sana sana nimemsaidia kumtuliza mumewe mana alikuwa hashikiki anarudi asubuhi wakati mwingine kulala huko huko.
Kwangu Mimi saa4 kachelewa baba kwa mkeo labda itokee kitu cha muhimu cha kumrudisha saa nane za usiku, sherehe sijui vi nini nenda na mkeo ndio anayesitahili. Nimemtengenezea mazingira ya kuiweka mbele familia yake then ndo nifwatie.

duh...!! kama bongo movie...kweli kuna mambo dunia hii
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! NA HIKI NDO KIJIWE CHETU, HUU NDO UWANJA WETU WA NYUMBANI, TUACHENI TUJIMWAGE JAMANIIIII, TUJISHEBEDUE KWA CHATI EEEEEEH! SINGLE AND READY TO MINGLEEEEEEEEEEE! Patamu hapoooo! ALL CARDS ON THE TABLE! THE ONLY PLACE YOU CAN CONFESS YOUR CRIMES AND GET AWAY WITH IT! HOW MORE LIVE CAN THIS HOT TALK BE?
miss neddy best idea ever ya hii interview! WAKE ZA WATU NA WASAMARI YOU DONT FIT IN, ANZISHENI KIJIWE CHENU!!!!!!!!!!!

umeona eeeh mtu kafunguka watu wanajifanya wema sana asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe angelita
angelita bado mdogo bado badae hii itakuwa past na wengi humu past zao mmmmh ni majanga sema ndo hivyo nyuma ya keyboard ni rahisi kujifanya saint
 
Last edited by a moderator:
lara 1
DO YOU KNOW WHAT THIS IS?
pliers_2.png

A PLIER

DO YOU KNOW ITS UNOFFICIAL FUNCTION??
-DISCIPLINING ''HUBBY THIEVES''

HOW?
-BY HOLDING FIRMLY AND DIRECTLY SQUEEZING IT GENTLY TO THE ''P'',TWISTING IT SIDEWAYS TILL THE VICTIM CONFESS AND AFFIRM HER DECLARATION ON'' NEVER TO RE-DO THE ACT''

ITS STRENGTH/ADVANTAGE
-LEAVES A PERMANENT MARK LIKE A BRAND-AS A REMAINDER IN THE FUTURE FOR YOUR DEEDS
-ITS REALITY CHECK

DISADVANTAGE
-NONE
 
Last edited by a moderator:
Tyta

Hahahahaa et disadvantages none.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaaaaaa! NA HIKI NDO KIJIWE CHETU, HUU NDO UWANJA WETU WA NYUMBANI, TUACHENI TUJIMWAGE JAMANIIIII, TUJISHEBEDUE KWA CHATI EEEEEEH! SINGLE AND READY TO MINGLEEEEEEEEEEE! Patamu hapoooo! ALL CARDS ON THE TABLE! THE ONLY PLACE YOU CAN CONFESS YOUR CRIMES AND GET AWAY WITH IT! HOW MORE LIVE CAN THIS HOT TALK BE?
miss neddy best idea ever ya hii interview! WAKE ZA WATU NA WASAMARI YOU DONT FIT IN, ANZISHENI KIJIWE CHENU!!!!!!!!!!!

kijiwe kizuri itabidi displine iwepo ili interview zisiwe zinafutwa kama ileeee yako... maana nilipitiwa na usingiz kuja kuamka sioni kitu daaaa
 
Last edited by a moderator:
Tyta

Hahahaaaaaaaaa! IF ANYTHING NEEDS A DISCIPLINING IS THE UNGRATEFUL HUSBAND! Simba mkali na vyake vinaliwa vile vile na mafisi akizubaaa, itakuwa mke mtu? Thubutuuuuuuuuuuuuuuuu!

Labda aitumie kwenye P za mumewe kimaliza hi kazi achukua karatasi na kujiandikia TALAKA 3 kabisaa mwenyewe na kubeba begi lake huyoooooo!

Wiz Khalifa anakwambia the wifes P is OVER RATED! She be fu**** him like a star, like her majesty the wife, like B. owns him, AND HE IS TAKING NONE OF THAT! Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa! HOW IRONIC! In the end Ps is just Ps wife or not! Oooooooops!
 
Last edited by a moderator:
kijiwe kizuri itabidi displine iwepo ili interview zisiwe zinafutwa kama ileeee yako... maana nilipitiwa na usingiz kuja kuamka sioni kitu daaaa

Haahahaaaaaa! Ile ilipata REPORT ABUSE 500, Tukapigwa BAN kuanzia HOST, MGENI, FUNDI MITAMBO, HAT SISIMIZI ALIEKATIZA ULE UZI ALIPIGWA BAN! Hahahaaaaaaaa! Na uzi uadilitiwa PERMENENTLY kwenye saver za MMU! Hahahaaaaa!
 
Hahahaaaaaaaaaaa! Wimbo wa mzee Ysufu KUCHEZEWA MUME WANGU NASEMAAAAAA NIMEKUBALI ukuburudishe! Ama sivo kama bi mkuludawa hataki AJIKATE! Her time is officially over! EXIT CERFICATE IMESOGEZWA KWENYE FOLLEN YA MHURI!

TUPA KULEEEEE.......JUST LIKE THE ISIS DECLARED WAR TO US & ALLIES...I SEE A NEED TO DECLARE WAR TO ''ALL MARRIED MEN HUNTERS''..THIS IS NO JOKE WAR....HUBBIES(THE PREY) & lara 1& CO(THE PREDATORS)...
 
1st AID....kwa nini umesema hivyo??

Nina majanga yangu namaanisha sio mkamilifu kivile, tunasema to be honesty haiondoi kosa ila una expose na kuexpose pia hakukupi mandate ya kulilinda kosa bali kujutia, then una confess ili upate forgivness... Sio kwa aliekukosea tu ila kwa waliobahatika kusikia au kwa Mungu.

Pili kuna integraty hapo haijalishi ila ni kutenda kwa usahihi bila kujali outcome consequences . Haya mawili ni inabidi kuyatumia kwa uangalifu sana. Ikiwa uko honesty kwa jambo la kijinga kwanini usiadimit ujinga huo!? Eti tu 1st AID nae aliufanya so nikiambiwa huu ni ujinga nikimbilie maandiko. ” eti unanihukumu kama nani?” mengine sio hukumu ni taadhari.

Ndio maana nikasema kuna ukweli.. Wengine mazimwi. Mtu haoni hasara nae anakuwa proud off kuzini na mume wa mtu. Sikatai zini sawa but regret walau utofautishe mambo sahihi ya jamii yako yanayokemewa!

Kula ujana we kula upendavyo lakini ni ujana upi unakula kwa familia yako tarajiwa? Wengine hujisifia kabisa..”mimi nimetoka familia ya kidini” lakini hakuna kitu cha maana kwenye ndoa..nawangalia tu nasema maji hayasau baridi hata yachemkeje..ipo siku utameza matapishi yako mwenyewe. Utakapo shindwa kuelewa uovu wa wanafamilia yako umetoka wapi! Kumbe uzimwi wako wa ujana unakuandama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom