MMU hot talk

MMU hot talk

Kuna swali langu nimekuuliza hapo awali,naomba nilirudie

Ukipata mtu ambaye Si mume wa mtu bado utakuwa una date naye kwa mlengo wa kuenjoy bila kuwa na expectations zozote?

Swali la ziada
Unapata changamoto zipi kutoka na mme wa mtu? Na una zikabiri vipi?

Ndiyo hivyo vingine kama vipo vitajitokeza vyenyewe.

Siko huru naye sana kwasababu namuheshimu mkewe.
Mimi nishajua nafasi yangu iko wapi, siwezi kujiweka nafasi moja na mkewe na wala sivuki mpaka wangu.
 
Namfahamu na bahati nzuri anatambua uwepo wangu mana nimwaka wa3 sasa niko na mumewe. Nakwakuwa dini yao inaruhusu mke zaidi ya 1 alitoa ruksa mumewe kuhalalisha ila mimi sipo tayari. Kama mwanamke najisikia vibaya ila ndio ishatokea.

Heshima yake kwa mkewe haijashuka, anamuheshimu kama mwanzo, ikiwa pamoja na matunzo tena wanapata mara3 zaidi ya nipatacho Mimi.

Ok. Asante kwa mwitikio wako.

Swali jingine....
Kwa sasa hauna mpango ama shauku ya ndoa, kwa mujibu wa maelezo yako.
Ningependa kujua muda ukiwadia ambapo wewe utakuwa na utayari wa ndoa/kuwa mke, kwa tathmini yacko uchaguzi wako utakuwa ni upi?

1. Je, utapendelea kuolewa na huyo mume wa mtu? Kwanini?
2. Utapendelea kuolewa na kijana/mwanaume mwingine tofauti na huyo mume wa mtu (au mwanaume yeyote yule aliyeoa)? Kwanini?
 
True! Na mimi nilikuwa namjibu T bag swali lake kuwa je bi mkubwa atakubali shosti aolewe mke wa pili? Ndo nikamjibu hivo asikubali vipi sasa wakati dini imeruhusu?




Husninyo 23:48 Yesterday
kumhandle mmoja tu shughuli nzito halafu leo
uniongezee mke mwenza! ntakupasua na chungu.



((Huyu nimemkuta akiyasema hayo maneno kwenye uzi mwengine))))
 
Huoni ukikubali kuwa mke wa pili utainjoy na kupata haki sawa na bi mkubwa na pia utakuwa umehalalisha hata mbele ya mungu na kumpunguzia hukumu ya kufanya zinaa huyo mume wa mtu.au humuogopi mungu mwenzetu

Mungu namuogopa sana sipo tayari kuwa mke wa mtu kwasasa mie bado mdogo bata sijawamaliza.
Tatizo lingine dini mimi mkristo na siwezi kubadili dini hata iweje.
 
Mungu namuogopa sana sipo tayari kuwa mke wa mtu kwasasa mie bado mdogo bata sijawamaliza.
Tatizo lingine dini mimi mkristo na siwezi kubadili dini hata iweje.

Nyota yako ya Mecca kwahiyo waislamu wana kuhusu. Wa kwanza alikuwa muislam(Mwarabu),huyu pia hivyohivyo
 
Ok. Asante kwa mwitikio wako.

Swali jingine....
Kwa sasa hauna mpango ama shauku ya ndoa, kwa mujibu wa maelezo yako.
Ningependa kujua muda ukiwadia ambapo wewe utakuwa na utayari wa ndoa/kuwa mke, kwa tathmini yacko uchaguzi wako utakuwa ni upi?

1. Je, utapendelea kuolewa na huyo mume wa mtu? Kwanini?
2. Utapendelea kuolewa na kijana/mwanaume mwingine tofauti na huyo mume wa mtu (au mwanaume yeyote yule aliyeoa)? Kwanini?

Wakati ukifika bado chaguo langu halitakuwa huyu ni mtu mwingine tu asiyekuwa mume wa mtu, ambaye Mungu atakuwa amenizawadia.
 
mh kwa hiyo huyo mwarabu ndio aliyekuwa ni wa kwanza kufungua mlango na ilkuwaje mkajikuta mpo kwa bed au alikuwa mzuka kwa ninavyojua mlidhamiria haswa mpaka mkaenda huko kwa bed hebu tujuze vizuri bwana

Mkuu soma vizuri nimesema hisia zilituzidia.
 
Sijui ni yule aliyekuwa anacheza ndombolo pale mjengoni lol . masikini mzee wa watu!!!

Hahahahahaaa....Mkuu nacheka sio kwamba mazuri haya ndo maisha, mbona wako wengi sana kama Mimi.
 
Hujamalizia kipengele cha 'kwanini?'

Nitamchagua mtu mwingi ambaye hajao kwasababu dini yangu inaruhusu mke mmoja tu.
Na huyu niliyenaye siwezi kuolewa nae kwasababu dini tofauti na pia ana mke tayari.
 
So far....you are good na umekuwa muwazi (according to my belief).
Majibu yako yamenogesha mjadala japo kila jibu lilikuwa linanihamasisha kuuliza swali jingine....ila naomba niishie hapa.

Shukrani kwako muandaaji miss neddy pia angelita kwa ushirikiano wako
 
Last edited by a moderator:
Umejitaid sana kuutetea uovu wako unaoufanya kwenye familia ya wenzako.Tafuta wako muanze safar yenu na baadae muoane,haujui wenzako wametoka wapi,ww unaingilia tu ndoa ya watu kwa tamaa ya cent.
 
Umejitaid sana kuutetea uovu wako unaoufanya kwenye familia ya wenzako.Tafuta wako muanze safar yenu na baadae muoane,haujui wenzako wametoka wapi,ww unaingilia tu ndoa ya watu kwa tamaa ya cent.

Wewe ni nani hata unihukumu???? Maovu yako unayoyafanya umeyaacha????? Mkuu kabla hujarusha jiwe hakikisha wewe ni msafi.
Kila mtu anasitahili yake ya maisha aliyoamua kuishi ni maisha yangu nauhuru wakufanya chochote nitakacho.
 
Hata mm hua naonywa na kusikia,sikuhukumu ila nakwambia ukwel.Ulitaka nikusifie kutembea na mme wa mtu? Kama sehemu ya jamii naamin kuwa kukueleza ukwel ni jambo jema,mana wanaume ni wengi tu.Pia usi assume kila mtu anauovu wa type yako na ww ukapata tiket ya kudestroy familia ya mtu kisa et jamaa muislam.
 
Mimi huwa sidai ndoa wala sina kimuhe muhe cha kuolewa karibuni, mahusiano yangu naenjoy sana sababu hayana deni wala expectations tunafocus kwenye kuenjoy wakati tuliopo sio possibility za huko mbele, hiyo imenifanya niwe na appreciate mambo mazuri nayotendewa badala ya kukaa na kuhesabu vitu ambavyo sijatendewa you should try it sometimes too.

Girls!!!! A way forward.
 
Back
Top Bottom