MMU hot talk

MMU hot talk

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Truth has no temperature really!
Unajua unapokuwa umemuheshimu mtu sana , huna hili wala lile unagundua anakuwazia very low of you...... Basi huna budi kuhitimisha huyo mtu atakuwa ana matatizo sana kichwani mwake.
Ni hayo tu.
 
Ujana uliucheza vibaya na ndo ushakupita, kama nakuona unavyotamani kuwa kama sisi 20s hahahahahaaaa...

Grandmaaaaaa kaa fikiria future ya wanao wataishije watasomaje ila pole kwakulea mwenyewee, ulizani kuzaa nao wangekupa hata cheo cha Nyumba ndogo heheheeeee wakakumimina kama maji uwiiiiiii.

Grandmaaa sie kuzeeka tutazeeka ila hatukufikii wewe, bado utaendelea kuwa ajuzaa wakati wenzio ndo umama unashika moto.

Dogo mbona umekuja na strategy ya kunikwepa...comment ya NK unampa Lala1...

Mimi ndo NK bana...:llama::llama::llama:
 
Nimekuja mpaka huku nakwambai looooh!

HAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! MBONA HAMNA JIPYAAAAAAAAAAA HAPA! Humu ndani TALK OF EVIL, TALK OF BEING NASTY THATS ME BABY!!!!!!!!!!!! NA SIJAWAHI KATAAAA ANY EVIL ALLEGATIONS LEVLLED AGAINST ME!

Ungekuja na uzi NAJIFANYA NIMEOKOKAAAAA HAPO KIDOGOOO! BUT BEING EVIL IS MY MIDDLE NAME! HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!

Umesahau nyuzi nazo hubiri watu WACHUNEEEEEEE WASIPIGWE FREEEP, EXACTLY WHAT IM TALKING ABOUT NOW!:A S wink::A S wink:

nonononon.... you just showed a sign of being the good you..but you back off...
 
Unajua unapokuwa umemuheshimu mtu sana , huna hili wala lile unagundua anakuwazia very low of you...... Basi huna budi kuhitimisha huyo mtu atakuwa ana matatizo sana kichwani mwake.
Ni hayo tu.

Hahahaaaaaaaaaa! Need i say more? I dont think so!
 
Hahahaaaaaaaaa! ZA USO JADI YETU MKUU! Sisi WATANI WA JADI KAMA Simba na Yanga!

Nashangaa...
JF ili uijulie culture yake either uwe wa siku nyingi au ushindemo humu muda wote kama NK....:llama::llama:
 
Kwa taharifa yako sikuanza leo kumpa za uso Lara 1...
Na hatujawai kuwa maadui...

Do your homework...'young lady'

Hahaahahahaaaah
Mfamaji haishi kutapatapa
Hamjawai kuwa maadui unazani atakupunguzia hiki kipigo lara 1
 
Last edited by a moderator:
nonononon.... you just showed a sign of being the good you..but you back off...

Me BEING GOOD??????????????? NO WAY! Nilikuwa nawavisha kilemba cha ukoka tu labda! BUT TH DARK SIDE IS REALLY WHAT I AM GOOD AT!
 
Sio yako analike hadi za lara 1 sasa hivi dozi imemkolea
Hapana , hiyo ni tofauti na yangu.... Kwangu mimi it was kind of personal na dharau hivi..... Uzuri ni kuwa humu hata hamna anayemuweka mwenzake mjini, hamna haja ya kushobokeana aseeeeeh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Chukua like...afu usisahau zile dawa alizokupa daktari za depression ...:llama::llama::llama::llama:

Hahahahaaaahahaa nyumba kubwa me mwenzio laana sitaki 39+11=50 50-23=27 umeniacha mbali sana naingia mara2 kwenye kiatu chako na jinafasi linabaki.

Me sio size yako hata kidogo mwenyewe unaona aibu mana watuwazima wenzio wamekuzuia ukadai mori imepanda wakakuacha mwishowe nimekuvua hadi chupi hadi wapambe wako wamekimbia kwa aibu.

MWISHO sitaki niendelee mana kama kukuvua nguo nimekuvua hadi pichu, Ushauri wako siutaki usave kwajili ya wanao, Mume wa mtu ndo ninaye wala simuachi Leo wa kesho.
 
Bye bye...

Nilikuwa nakusubir u log off...

Maana NK sina historia ya kuwa failure in life...
Hivo najua nimeondoka na kombe na crown juu:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:

Tusubiri mechi ya marudiano (kama hamtaingia mitini)
 
Wewe nimewaachia wakubwa zangu kidogo wanaweza kuendana na wewe asakuta same lara 1 kiwatengu amu
 
Last edited by a moderator:
Te te te te...si tumeshaagana...
tena kwa wema maana na kesho nayo ni siku...te te te

Watu wanauliza eti mumeo unamuhudumia saa ngapi?????? Mana wanadai uliwaambia wewe mke wa mtu wanashangaa toka asubuhi hadi saa4 upo hapa wabshana na kitoto, haukawii kusema uko uko safarini kikazi ndomana huko huru hehehehweeeeeeee wajibu wadau mie mjumbe tu.
 
Back
Top Bottom