MMU hot talk

MMU hot talk

Watu wanauliza eti mumeo unamuhudumia saa ngapi?????? Mana wanadai uliwaambia wewe mke wa mtu wanashangaa toka asubuhi hadi saa4 upo hapa wabshana na kitoto, haukawii kusema uko uko safarini kikazi ndomana huko huru hehehehweeeeeeee wajibu wadau mie mjumbe tu.

Watu ndio nani?

hana computer au simu?

Kwa nini unamuulizia...?

Nshasema mjipange...

Kumpa za uso NK unatakiwa uwe umepitia kozi...

Bado bado bado saaana....:llama:

Thank you my dad kwa kunifunza staili za kigaidi...hakuna anayemuweza NK...lol

Rudisha feedback kwenye hicho kikao...mjipange muje upya...
 
duh!! Kumbe ni mwanamke?
aisee, nasepa..
nimewekwa kwenye group ya 60's..
Damn it!! Ndiyo maana Tyta kaja na homework ya Beijing declaration...
Shiiit
 
Last edited by a moderator:
Yap! nyumba kubwa jf woman of the year hongera zako mamaaa,hata mama yako anajivunia alizaa mtu, hakutaga.

Thanks sweetie...
Najua wengi tu wananikubali kimya kimya...
Hata hawa wanaotaka kunitoa roho...lol
Nilishaambiwa ukiona mtu anakuchukia jua anakukubali (umekuwa benchmark ya maisha yake)...

Uwe na Jumapili njema...
(hapa nina kazi basi nikichugulia JF nikarusha kombora na akili inatiririka...ha ha ha wala sijachukia hii imekuwa motivation kwenye kazi nayoandika)
 
Kwa mtindo huu uzi utafika page mia hakyamungu. .....mi sikuiz jf ni msomaji tu
 
Watu ndio nani?

hana computer au simu?

Kwa nini unamuulizia...?

Nshasema mjipange...

Kumpa za uso NK unatakiwa uwe umepitia kozi...

Bado bado bado saaana....:llama:

Thank you my dad kwa kunifunza staili za kigaidi...hakuna anayemuweza NK...lol

Rudisha feedback kwenye hicho kikao...mjipange muje upya...

Grandma jibu swali sio unaruka ruka kama ndege, mbona wenzio tukiulizwa twajibu.
 
Grandma jibu swali sio unaruka ruka kama ndege, mbona wenzio tukiulizwa twajibu.

Chema chajiuza kibaya chajitembeza...
Unadhani nina muda wa bragging...
Mimi hapa natoa shule tu...
Usitake kutoa povu pindi ntakapoanza kujisifia...

Angalia kwanza avatar yangu...

Unadhani niliichagua by accident...

Niko hapa JF kikazi zaidi ndio maana nimechagua sura mbaaayaaaa!!!!!!!

:A S wink:
 
Mimi na Grandma nyumba kubwa nishamalizana naye.

Wacha nilale kesho nisijekusinzia kwenye ofisi za watu mjini heshima kazi vingine urembo tu miss neddy ahsante hope ntaalikwa tena siku ingine.

Good i hope hata nyumba kubwa ataacha yapite INATOSHA
usijali siku nyingine lazima ualikwe hot girl
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom